Yaani kwanza naogopa nashukuru nimepanda nimefika salama tena kwa muda muafaka hapa kurudi Dom tena nawaza mnoo na hyo SGR yao Wallahi...Si walisema SGR ni kama Ikulu umeme wake hauzimi kabisa
Hapo ndio nimechoka mnaposema na air conditioning zikafa na milango haifunguki
Karne hii hawakujua kuwa yanaweza kutokea haya na kuwe na mbadala wa kufungua manually?
Yaani na pumzi hizi siwezi kufa kijinga navunja dirisha au basi sipandi tu
You are also a product of sex. Your mother was not afraid of what you have termed "naniliu". If everybody of us would have been afraid of "naliliu" all of us would not be here typing now!muoga ila naniliu huogopi!
Mnaopinga SGR ni nyie chadema so possibly hijuma zitakuwa zinaanzia huko!Mnafanya hujuma halafu mnaleta vijiushauri vyenu hapa, hatutaki!
Hiyo imekaa vizuri, akina Abood mbona wanalalamika SGR imeua biashara yao ya mabasi si waingie tu kwenye gemu sasa.Wameishaambiwa wanakaribishwa kuwekeza vichwa na mabehewa harafu watalipia tozo za miundo mbinu
Unaona riziki hii sasaYaani kwanza naogopa nashukuru nimepanda nimefika salama tena kwa muda muafaka hapa kurudi Dom tena nawaza mnoo na hyo SGR yao Wallahi...
Panda treni wewe achana na maneno ya mitandaoni. Watu wanasubiri hata ikisimama kupisha ingine ipite washarusha video imezimika.Yaani kaka angu usemayo yawez akua saihi
Naigopa sasa hyo SGR maana miye toka imeanza ndo napanda hyoo..na nilisema Mabasi tena baba jeni byebye..hapa niko Dar nataka nirudi Dom naanza kupata hofu miye
Panda usisikilize maneno ya mitandaoni.Yaani kwanza naogopa nashukuru nimepanda nimefika salama tena kwa muda muafaka hapa kurudi Dom tena nawaza mnoo na hyo SGR yao Wallahi...
Kuna mtu nimemwambia hivyo hivyo. Hata wasambaze hofu kuwa imezimika mara kumi,tutapanda tu.izimike au iwake, ila tunayo. wachawi mna roho mbaya sana hamtakagi maendeleo. kuna watu wengine hawana hata ndumba ila wanaomba Mungu usiku na mchana mradi ufeli.
Huu mradi ni mpya hivyo unahitaji kupewa muda mpaka utakapopata utimilifu.Yaani kwanza naogopa nashukuru nimepanda nimefika salama tena kwa muda muafaka hapa kurudi Dom tena nawaza mnoo na hyo SGR yao Wallahi...
Hizi ni poor mindset.Hii treni tumepigwa, tena tumepigwa pakubwa. Tulisema, tunasema na tutaendelea kusema, hatukujipanga, hatutaki kujipanga na hatuna mpango wa kuendelea, ni blah blah za upigaji za siku zote, sekta zote. CCM ni laana.
Kwenye Ndege hali ni hiyo hiyo...
Kwenye mwendokasi hali ni hiyo hiyo..
Na sasa SGR hali ni hiyo hiyo....
Kwakweli hapo na mimi kidogo nimeogopa, halafu kulikua na mtu buku so ajabu behewa kibao zilishona.Mmmh ngoja nisipande kwanza acha nipambane na usafiri mwingine.
Nimesikia A/C zilizima na milango ikawa haifunguki nilivyo muoga ngoja nisubiri kwanza.
serikali iwe macho, ifike kipindi hawa wamiliki wa mabasi wawekewe uchunguzi, atakayehujumu, ashughulikiwe.Kwakweli hapo na mimi kidogo nimeogopa, halafu kulikua na mtu buku so ajabu behewa kibao zilishona.
Mwisho muanze kuitafuta kwa tochi oxygen afu sisi wafupi tukufe kwa kuikosa.
Aiseee naonea huruma watoto zako wasije kurithi akili zako.kitu ukitolee hela alafu useme kipewe muda hizi kweli akili za bara la giza mpka hapo hujajua kwamba sgr imepigwa imetafunwa lini akili zitawakaa sawa...... toka tunaubuni mradi walitakowa wajue changamoto za mapema ni ni nini ipa kwakua tunavilaza kwenye uongozi na utendaji hawakusoma gap. leo mwananchi unakuja kutetea eti ya kwanza afrika mashariki na kati.
aliesema tz ni maiti hakukosea kabisa
Mwendokasi umehujumiwa na wamiliki wa daladala??serikali iwe macho, ifike kipindi hawa wamiliki wa mabasi wawekewe uchunguzi, atakayehujumu, ashughulikiwe.
Ndugu,mimi sipendi uovu wala sitetei. Ila project nyingi haziwi smooth bila kufanya baadhi ya marekebisho. Hii ni popote pale.Nawachukia sana CCM kwa kupenda kuendesha mambo ya nchi kwa ku- bet kama unavyotakatisha uovu wewe kwa maneno kama haya!Inamaana hapajawa na upembuzi ya kinifu wa kitaalamu kabla ya mradi?Tunaanza kufanya eti marekebisho kwenye hatua ya uendeshaji?
lengo lao sio kuajiri watu wengi bali kupiga hela nyingi.Wafungue viwanda sasa waajiri watu wengi zaidi
Wasing'ang'ane na mabasi
Asante sana Mkuu, nilisom quote yake nikaona hata nikimjibu nitakua napoteza muda, nafurahi umeweza kumueleweshaAiseee naonea huruma watoto zako wasije kurithi akili zako.
Hata hizo gari za TESLA ZA umeme kipindi zimeundwa mfumo wa auto pilot ziliingizwa sokoni na zikaleta maafa na kufeli.
Je unataka kusema TESLA nao walijipiga!??
Kitu ama mradi ukiwa mpya huchukua muda kuuingiza katika ufanisi.
Hata China kipindi imeanza kuunda MAGLEV Rails ilishahimili ajali tatu mpaka MAGLEV inakuja kuwa na ufanisi.
Inaonekana huna exposure kama hujui mambo nyamaza sio lazima uongee.
kitu ukitolee hela alafu useme kipewe muda hizi kweli akili za bara la giza mpka hapo hujajua kwamba sgr imepigwa imetafunwa lini akili zitawakaa sawa...... toka tunaubuni mradi walitakowa wajue changamoto za mapema ni ni nini ipa kwakua tunavilaza kwenye uongozi na utendaji hawakusoma gap. leo mwananchi unakuja kutetea eti ya kwanza afrika mashariki na kati.
aliesema tz ni maiti hakukosea kabisa