Treni ya umeme Morogoro ni mwisho wa Abood bus services?

Treni ya umeme Morogoro ni mwisho wa Abood bus services?

Iv hii na ile ya kenya
Nairobi to mombasa ipi nzur
Maana ya kenya alhamis inaznduliwa
 
Iv hii na ile ya kenya
Nairobi to mombasa ipi nzur
Maana ya kenya alhamis inaznduliwa
Hiyo inayozinduliwa alhamisi, Tz ya Nyerere ilishaizindua miaka ya 70 huko. TAZARA.
 
kuwepo kwa train ya kasi kutaathiri sana uendeshaji wa kampuni za mabasi kati ya dar na morogoro. kampuni hzo zitapata upinzani mkubwa, japo hazitokufa kabisa ila faida itapungua kwa sababu route zao zitapungua. do not except kwa ujio wa treni ya kasi Abood bus service wataendelea kutoa basi yao pale ubungo ama msamvu kila baada ya dakika 30
 
W

wataihujumu treni ili wao waendelee kupiga hela
 
Nini itakuwa nafasi ya kampuni za usafirishaji za Abood and Hood kwenda na kutoka Morogoro kufuatia ujio wa treni ya umeme Morogoro - Dar es Salaam?. Naona kama vile itabidi waanzishe routes za Kolomije - Mwanza express
Hivi hiyo treni utatumia umeme wa tanesco au jenereta? Kama ni tanesco nadhani ni mradi wa maafa.
 
Unaonaje kama TRCL nayo ikawa na safari nyingi na za haraka zaidi kuliko unavyofikiri wewe? Kumbuka kuwa treni inakwenda kasi na haina foleni njiani kuliko mabasi. Nani anapenda kwenda Morogoro kwa masaa 4 badala ya SAA 1?
kasi ni moja na kusimama vituoni je?
 
Nawahakikishia mpaka 2020 tunaingia kwenye uchaguzi hiyo treni ya umeme haitakuwepo kutakuwa na wimbo kama huu tu
 
Back
Top Bottom