ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,044
Nilisikia hautatumia umeme wa grid ya taifa, wa treni utajitegemea.Umeme ukikatika ndo watalala huko maporin; yetu macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisikia hautatumia umeme wa grid ya taifa, wa treni utajitegemea.Umeme ukikatika ndo watalala huko maporin; yetu macho
Halafu itakuwa inauwezo wa kutumia nishati mbadala pia.Umeme ukikatika ndo watalala huko maporin; yetu macho
Ni multisystem engine UMEME , mafuta, gesi inasonga MZEE!Umeme ukikatika ndo watalala huko maporin; yetu macho
Hiyo inayozinduliwa alhamisi, Tz ya Nyerere ilishaizindua miaka ya 70 huko. TAZARA.Iv hii na ile ya kenya
Nairobi to mombasa ipi nzur
Maana ya kenya alhamis inaznduliwa
wataihujumu treni ili wao waendelee kupiga helakuwepo kwa train ya kasi kutaathiri sana uendeshaji wa kampuni za mabasi kati ya dar na morogoro. kampuni hzo zitapata upinzani mkubwa, japo hazitokufa kabisa ila faida itapungua kwa sababu route zao zitapungua. do not except kwa ujio wa treni ya kasi Abood bus service wataendelea kutoa basi yao pale ubungo ama msamvu kila baada ya dakika 30
Hivi hiyo treni utatumia umeme wa tanesco au jenereta? Kama ni tanesco nadhani ni mradi wa maafa.Nini itakuwa nafasi ya kampuni za usafirishaji za Abood and Hood kwenda na kutoka Morogoro kufuatia ujio wa treni ya umeme Morogoro - Dar es Salaam?. Naona kama vile itabidi waanzishe routes za Kolomije - Mwanza express
kasi ni moja na kusimama vituoni je?Unaonaje kama TRCL nayo ikawa na safari nyingi na za haraka zaidi kuliko unavyofikiri wewe? Kumbuka kuwa treni inakwenda kasi na haina foleni njiani kuliko mabasi. Nani anapenda kwenda Morogoro kwa masaa 4 badala ya SAA 1?
sina uhakika hzo hujuma kwa awamu hii, labda baada ya 2025W
wataihujumu treni ili wao waendelee kupiga hela
Wewe ni nabiiNawahakikishia mpaka 2020 tunaingia kwenye uchaguzi hiyo treni ya umeme haitakuwepo kutakuwa na wimbo kama huu tu