Treni yaleta ‘kilio’ usafiri wa mabasi Dar - Moshi

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umenicgekesha kwenye Kula apple [emoji519] kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wanapora Sekta Binafsi hata kidogo walichonacho

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
Ukiona wanatukana tren ujue biashara yao imeingia changamoto

Mabeberu kwisha Habari yao
Hua najiuliza wewe mtoto kijana mzee au ajuza ..una akili za kipumbavu sana
Tangu enzi miaka ya nyuma ,.vijana wa zamani tunajua kua mabasi yalikuapo na tuliyatumia sana hadi sasa yanatumika sana, na nina uhakika hata mkeo na wanao wanatumia usafiri huo, hata wazazi wako wanatumia usafiri.huo, hio ni biashara tu hakuna beberu hapo, ni sawasawa na wewe ulikua na genge lako la mihogo ila mihogo yako ulikua huweki kachumbari , ila akatokea mwingine kafungua genge la mihogo akawa anaweka na kachumbari, wateja wanaopenda kachumbari watahamia kwenye kachumbari, ila wewe wateja wanaopenda mihogo.mikavu watabaki kwako, thats business, na hawajatukana na sijaona matusi wameeleza changamoto kama.zilivyo changamoto zingine kwenye biashara, tatizo baadhi ya watanzania vichwa maji kama.wewe kila.kitu mnachukulia siasa in which is nonsense, ignorancy and stupidity

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mfanyabiashara atapata ridhki yake kadri Mungu alivyomrudhuku..
 
Hebu wathubutu kufanya huo upuuzi sasa hivi tuone 😔!!
hujuma zilizofanywa na wamiliki wa magari makubwa ili usafiri wa reli ufe kabsa ikiwepo ile reli ya pugu to kamata, ubungo to kamata
 
Reactions: rr4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…