Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
kuna mtu humu anamshukuru sa100 kwa kutuletea treni ya kitalii kupitia sinema yake ya tour.Unavyojua wewe ndo hivyo ila reli hiyo inaenda mpaka South africa na hiyo treni ya kitalll inakuja kila mwaka moja kwa moja
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sasa wewe Kwa akili Yako fupi unadhani hakuna interconnectivity ya reli Hadi South Africa?Nyie ccm ni waongo, hakuna reli ya kutoka South Africa kuja Tanzania labda kama ipo Zambia to South inawezekana kuja hadi Tanzania kupitia TAZARA.
Watu wajinga sana mkuu. Na pia wanatuona sisi ni wajinga sanaUpuuzi mtupu kusema ni juhudi za rais wakati hiyo treni hufanya hivyo mara kwa mara miaka na miaka
Kwahiyo kwa asilimia kubwa nchi za Kiafrika zimeunganishwa na reli, si ndiyo? Sisi wengine hatuna exposure ya kusafiri nje ya TanzaniaIpo na hiyo rovos inazunguka karibu africa yote mwezi wa kwanza niliiona angola
Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
ii ni juhudi mahsusi ya mama samia royal tour inazaa matunda mitano tenaaaaaaaaUpuuzi mtupu kusema ni juhudi za rais wakati hiyo treni hufanya hivyo mara kwa mara miaka na miaka
Point yako ni unakataa au ? Sjasema nchi zote za africa zimeunganishwa na reli ila unaweza kutoka dar mpk SA congo angola kwa reliKwahiyo kwa asilimia kubwa nchi za Kiafrika zimeunganishwa na reli, si ndiyo? Sisi wengine hatuna exposure ya kusafiri nje ya Tanzania
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Turekebishe kidogo mkuu.Mkuu reli ya TAZARA inaunga mpaka South kwa Madiba kitaalamu wanaita Cape Gauge ni tofauti kidogo na Standard Gauge inayojengwa Bongo
π€£π€£Kama nawaona marasta uchwara walivyozagaa zagaa hapo station kuona kama wataambulia ambulia kibibi
Kama nawaona marasta uchwara walivyozagaa zagaa hapo station kuona kama wataambulia ambulia kibibi
Royal tour oyeeTRENI YA WATALII YA ROVOS YAPOKELEWA
Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imepokea treni ya Kitalii Kampuni ya ROVOS yenye Watalii 60 kutoka nchini Afrika Kusini.
Treni hiyo ilianza safari yake mwezi Juni 30, 2023 na imepita katika nchi za Botswana, Zimbabwe, Zambia na kuhitimisha nchini Tanzania.
Afisa Utalii Mkuu Bi. Alistidia Karaze amesema kuwa Bodi ya Utalii Tanzania Kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Watalii 60 waliotoka Mataifa ya, Denmark, Canada, Australia, Malaysia, Marekani na Afrika Kusini.
"Watalii hawa wamekuja na treni ya ROVOS alionza safari kutoka Afrika Kusini, wakiwa nchini watapata fursa ya kutembelea Hifadhi ya Serengeti, Ngorongoro, Mlima Kilimanjaro, Dar es Salaam na Zanzibar" amesema Karaze
Ameongeza kuwa tukio hilo ni kutokana na juhidi za Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Hassan Suluhu kupitia filamu ya " The Royal Tour" kutangaza utalii duniani.
Mtalii Andrew Saimon kutoka Marekani amefurahishwa na mapokezi makubwa kutoka Tanzania na kuwapongeza watanzania Kwa kuwa watu wakarimu na wenye upendo.
View attachment 2689015View attachment 2689016View attachment 2689017View attachment 2689018