Bombadier wanatengeneza vichwa vya train? Au nimepita kandoChina bei rahisi kuliko huko Europe China wameingia ubia na bombardier kwenye ununuzi wa treni za umeme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bombadier wanatengeneza vichwa vya train? Au nimepita kandoChina bei rahisi kuliko huko Europe China wameingia ubia na bombardier kwenye ununuzi wa treni za umeme
wanatengeneza mpaka ndege na vichwa vya treni ila nakuelewa kaka....tungekwenda kwa Europe na America wao wana treni kali kabisa...ila china wana affordable trainsBombadier wanatengeneza vichwa vya train? Au nimepita kando
Noted! But we might be compromising quality!wanatengeneza mpaka ndege na vichwa vya treni ila nakuelewa kaka....tungekwenda kwa Europe na America wao wana treni kali kabisa...ila china wana affordable trains
Kwa taarifa yako za umeme zinakuja baada ya hizi...kuna ile light rail ya Nairobi inaanza Juni 2017 kama ile ya EthiopiaKumbe sio za umeme! Ya kazi gani sasa!
ndio ivo ila waafrika tutafanyeje??? hatunanchi ambayo inaeza ku finance its own projects such as these onesNoted! But we might be compromising quality!
ndio ivo ila waafrika tutafanyeje??? hatunanchi ambayo inaeza ku finance its own projects such as these ones
Wanatengeneza vichwa na behewa zake piaBombadier wanatengeneza vichwa vya train? Au nimepita kando
Anyway, a good and promising start though not electrified one, au umeme unawekwa mwisho, maana mambo ya ufundi usikurupuke kufanya conclusionndio ivo ila waafrika tutafanyeje??? hatunanchi ambayo inaeza ku finance its own projects such as these ones
Hongereni kenya mko mbali sana.Duuuu kweli hizi ni bullet proof
ina semekana kuna electric provisions ila mimi siwaaamini...Nairobi light rail ndio itakua electric soma apa Nairobi's $138 million light rail project set to begin itafanana hiviAnyway, a good and promising start though not electrified one, au umeme unawekwa mwisho, maana mambo ya ufundi usikurupuke kufanya conclusion
Wanajitahidi sana. Wakati Israel inanunua ndege F-35 @ 100 million US$, fifty of them, juzi ilipokea moja ya kwanza. Wasting money for killing humans instead of human development in Africa!Kwa taarifa yako za umeme zinakuja baada ya hizi...kuna ile light rail ya Nairobi inaanza Juni 2017 kama ile ya Ethiopia
Nairobi's $138 million light rail project set to begin
Nimesomaina semekana kuna electric provisions ila mimi siwaaamini...Nairobi light rail ndio itakua electric soma apa Nairobi's $138 million light rail project set to begin itafanana hivi
ndege za vita??Wanajitahidi sana. Wakati Israel inanunua ndege F-35 @ 100 million US$, fifty of them, juzi ilipokea moja ya kwanza. Wasting money for killing humans instead of human development in Africa!