Treni za kisasa zitakazotumika Mombasa-Nairobi njiani

Treni za kisasa zitakazotumika Mombasa-Nairobi njiani

Wanajitahidi sana. Wakati Israel inanunua ndege F-35 @ 100 million US$, fifty of them, juzi ilipokea moja ya kwanza. Wasting money for killing humans instead of human development in Africa!
nadhani yote haya ni kujaribu kupimana nguvu na nchi zingine...wanataka kuonyesha military and economic influence..kama vile N.Korea ballistic missiles ambazo hazina maana ila wamefanya tests
 
images

si hizi mnazozitumia humo kwenu😀😀😀😀😀😀😀
images
images
Hahahaha ngoma isambe iyo
 
Daa Kenya ndo wataweza kutumia kale kamsemo cha Hapa kazi tu hakuna maneno maneno wala matamko
 
Back
Top Bottom