Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
- Thread starter
-
- #41
nadhani yote haya ni kujaribu kupimana nguvu na nchi zingine...wanataka kuonyesha military and economic influence..kama vile N.Korea ballistic missiles ambazo hazina maana ila wamefanya testsWanajitahidi sana. Wakati Israel inanunua ndege F-35 @ 100 million US$, fifty of them, juzi ilipokea moja ya kwanza. Wasting money for killing humans instead of human development in Africa!
Yesndege za vita??
ilhali wako middle East...si unajua vita kule!!!
swala la kustaajabisha ni ati Israel kumekauka kote chini ila wameendelea sana mpaka wananunua ndege hizi na mabillioni
Hahahaha ngoma isambe iyo
si hizi mnazozitumia humo kwenu😀😀😀😀😀😀😀
Inatosha mkuu dozi ishapenya tayarisome more pics
si hizi mnazozitumia humo kwenu😀😀😀😀😀😀😀
when u do, get back at meTunajipanga kuleta za kisasa zaidi toka Canada hizo za kichina hazina maisha marefu
Mang'aaa mkubwa weee. **** kabisa.Hizo ni treni au Viberenge?
when u do, get back at me
Povu LA nini?kwasababu mkona zenu za bullet trains??? acha upumbavu braza