hakuna matusi...ukweli usemwe...watz washamba wa dunia na wapumbavu
Its to be Electrified at 48bn kshs as of 2018 from Mombasa to NairobiAnyway, a good and promising start though not electrified one, au umeme unawekwa mwisho, maana mambo ya ufundi usikurupuke kufanya conclusion
Sawa nyie waTZ mnazijua wacha Kenya Ethiopia na South Africa tutumie hzi tinazo sai ...Teen za kisasa hamzijui trein ya kisasa ni kama hii
Zina punguza time toka mombasa hadi Nairobi by 8hrsMtoa mada umetoa pictures nzuri ila umesahau kusema kitu muhimu! Speed ya hizo passenger train! Nime google ni 120/km per hour ni moja ya point muhimu unapozungumzia sector ya usafiri its not about stations its about speed!
ata Nigeria, largest economy if afrika cannot finance its own projects....wacha zako wewe tumekopa ndio ila itatusaidia tuwaache wazumbukuku nyieYani wewe umekuja hapa kuringishia vitu vya kukopa huku unabwabwaja matusi juu. Ama kweli baniani mbaya likini kiatu chake kuzuri.
Mbwebwe tu...Kwa taarifa yako za umeme zinakuja baada ya hizi...kuna ile light rail ya Nairobi inaanza Juni 2017 kama ile ya Ethiopia
Nairobi's $138 million light rail project set to begin
Kwa hiyo sherehe yako ya kununua vichwa vya treni haishi bila kutukana watanzania.ata Nigeria, largest economy if afrika cannot finance its own projects....wacha zako wewe tumekopa ndio ila itatusaidia tuwaache wazumbukuku nyie
Zina punguza time toka mombasa hadi Nairobi by 8hrs
Right now Mombasa to Nairobi by car is 12hrs
With The trains it will be 4hrs
Pili as from 2017 kenya has signed CCCC to electrify the whole SGR AT 48BN$
So could Tanzanians stop hating and atleast build one large scale project??
View attachment 447910View attachment 447911View attachment 447912View attachment 447913
Hata mm si bishi kuwa elimu yetu ya kishamba, labda kwa sasa itakuwa ya kigadernenyewe bratha ungejua bullet trains ni nini, hungalijiaibisha apa....kuna tofauti kati ya bullet proof na bullet trains...ππππsikulaumu lakini nalaumu education system yenu ya kishamba
ASANTE, HIVI KENYA MAKUSANYO YAO KWA MWEZI NI BN NGAPI KSH...... Tanzania ni around 1 trillion Tsh, so it will take us 5 yrs to put that into place forgoing all other amenities of life. (48bn Ksh x 20=....... Ths)Its to be Electrified at 48bn kshs as of 2018 from Mombasa to Nairobi
Wacha dharau wewea
SANTE, HIVI KENYA MAKUSANYO YAO KWA MWEZI NI BN NGAPI KSH...... Tanzania ni around 1 bn Tsh, so it will take us 5 yrs to put that into place forgoing all other amenities of life.
Haya mambo magumu.
Sorry trillion! Huwa sijibizani na watu nyie (Lizaboni &Co. Ltd) but here it was a slip of finger!Wacha dharau were
Umefanya kusudi au umepitiwa!!!!!
Hakuna anae taka kujibizana naweweSorry trillion! Huwa sijibizani na watu nyie (Lizaboni &Co. Ltd) but here it was a slip of finger!
watz tunakuja juu saivi uongo mbaya hadi wakenya tumeanza kulingishana maendeleo, kenya mko mbele kwa maendeleo sikatai, ila kwa siku za karibuni tumekuwa tukiwakimbiza ille mbaaaaaaaaaaaya.kwasababu mkona zenu za bullet trains??? acha upumbavu braza
huyu aliyeshika kamera naye ni mkenya