Tribulation ni kama onyo kwa marapa wabana pua wote

Tribulation ni kama onyo kwa marapa wabana pua wote

Yeye ndiyo alivyoa amuoa ku operate ukimskiliza kwenye Tribulation utasikia

Pia elimu anayo so hana njaa he is doing for funny and Passion
Sahihi...Kuna watu wanajua kila msanii ana njaa kama wasanii wao hawajui kila mtu anaishi maisha yake.
Kiufupi dizasta anafanya kile anachopenda
 
Sahihi...Kuna watu wanajua kila msanii ana njaa kama wasanii wao hawajui kila mtu anaishi maisha yake.
Kiufupi dizasta anafanya kile anachopenda
Sizitaki mbichi hizi, failures have bulk of excuses.
Disgusting goons.
 
Mbona kama taarabu, mipasho na simulizi ambazo haziendani na uhalisia
 
Muhuni mama ako
Kaka Mbona unavuka kikomo, hapo mama yake kahusika wapiii??, jibu hoja na sio kutukana

Naona unajicondradict Sana unatutukana kumbe we mwenyewe unajitukana, mama wa mwenzio anaweza kuwa mama yako pia🤔🤔

Au unahisi si hatuna matusi??,
 
Back
Top Bottom