Tribulation ni kama onyo kwa marapa wabana pua wote

Tribulation ni kama onyo kwa marapa wabana pua wote

Ana flow kimbwiga sana, it irritates big tig time.

Na huyu anayempaisha kwenye huu uzi anaandika kizuzu, L na R zinamvuruga sijui na rap yenyewe imekorogwa namna hiyo.
Story tellers kina Prof J hawakuwa wakiandika mistari rubbish, ilikuwa yaani mtu wa rika lolote anasikiliza na anakuwa kama yuko na lecturer anaelimishwa.

Neno simple kama DELIVERY anaandika DERIVERY, [emoji706] [emoji706].
Mapenzi upofu, mapenzi uchizi, jamaa huwezi mwambia kitu akakuelewa kwa huyo dizasta.

"kufa kwa waganga, tutapungwa na walevi"
Yaani waganga wakipotea hata walevi watatibu watu.

Hawa kina dizasta, kina rapcha wanajivisha uking wasiostahiki.. Kipindi kina fid, profesa, mo teknik, binamu na watu kibao, wanafanya muziki serious hawa, ilibidi wawe wanachania bafuni wakienda kuoga.
Ndio hivyo tena hakuna watu nao wanajivika UKINGI.
 
Hao unaowataja zama zao zimeisha bro..! Japo Sio lazima wote tumkubali Dizasta
 
Ana flow kimbwiga sana, it irritates big tig time.

Na huyu anayempaisha kwenye huu uzi anaandika kizuzu, L na R zinamvuruga sijui na rap yenyewe imekorogwa namna hiyo.
Story tellers kina Prof J hawakuwa wakiandika mistari rubbish, ilikuwa yaani mtu wa rika lolote anasikiliza na anakuwa kama yuko na lecturer anaelimishwa.

Neno simple kama DELIVERY anaandika DERIVERY,
We jamaa ni hater tu
 
Wote wanaompinga dizasta wanawatumia kina fid,q na proff j kujitetea hiyo pekee inathibitisha uwezo wa Dizasta vina.
 
Wewe mgeni kwenye Rap
Kuna watu wanafurahisha sana
Kuna jamaa mmoja anamponda sana Dizasta na kuwasifia kina Fid q cha ajabu huyo huyo anaesema dizasta anaflow mbovu ni shabiki wa rapcha
 
Asa sugu nae ni msaa

Uyo sugu si kama kado kitengo tu
Utamjulia wapi sugu mdogo wangu,sugu ana albam 12 za hip-hop,albam ya mwisho alitoa 2002,kipindi hicho anatoa albam hapakua na msanii mwingine wa hip-hop aliyetoa albam,we sikiliza majigambo,matusi na mipasho ya wapuuzi wenzio wanaojiita wasanii, MCs
 
Dizasta kaanza hip-hop lini!?

Taarifa za awali
Jina la kuzaliwa
Edger Vicent Mwaipeta
Pia anajulikana kama
Fundi Vina
The Black Maradona
Professor Tungo
Amezaliwa
17 Februari 1993 (umri 29)
Iringa, Tanzania
Chimbuko
Mbeya, Tanzania
Aina ya muziki
Hip hop
Kazi yake
Rapa
Mtunzi
Mshairi
Mtayarishaji wa rekodi
Ala
Sauti, Kinanda
Miaka ya kazi
2012 - sasa
Studio
Panorama Authentik
Ameshirikiana na
One The Incredible
Nikki Mbishi
Nash MC
JCB wa Watengwa
Ni msanii ambaye muundo wa mashairi yake unajumuisha usimulia wa matukio na hadithi za maisha halisi ya jamii aliyotokea. Tungo zake zinajulikana kwa kuakisi maisha ya raia wa kawaida wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Alianza kurap mnamo mwaka wa 2007 kwa kushiriki katika mashindano mbalimbali ikiwa ni pamoja na SM Straight Music Freestyle Battle mwaka wa 2010 mkoani Iringa. Mashindano haya yalimjenga kisanaa na baadaye alijiunga na Tamaduni Muzik kupitia shindano la utafutaji wa vipaji. Mnamo mwaka wa 2012 alianza kupata umaarufu kwenye tasnia ya muziki nchini Tanzania, baada ya kutoa wimbo uliokwenda kwa jina la "Harder".[2]

Mnamo mwaka wa 2017, alitoa kandamseto yake ya kwanza "The Wonderboy Mixtape". Aliachia nyimbo kadhaa na kufanikiwa kutoa albamu yake ya kwanza "JESUSta" mwaka wa 2018. Mnamo tarehe 27 Desemba 2020, alitoa albamu yake ya pili "The Verteller".[3] Kando na kutoa nyimbo, Dizasta amekuwa akifanya utayarishaji wa nyimbo zake, hii ni baada ya kuamua kukaa chini na kuanza kusoma namna ya kutayarisha muziki na kufanya uhandisi wa sauti.
 
We jamaa ni hater tu
Hilarious....! Niwe hater kwa mtu ambaye more than ten yrs kwenye game bado ni underground [emoji50][emoji44]!
YouTube kule majority of the current comments wanasema wamemjua sababu ya hii battle yake na Rapcha, so just imagine kupewa boost kisa kaingia kwenye tangle na newcomer(barely three yrs in the game).
Artist akiwa mkali nyimbo zake zinakuwa hits na akiwa muandishi mkali wa lyrics automatically nyimbo 'zinabamba' allover(mifano ni Prof J, Mwana FA au Fid Q).
Yaani wala haitumiki nguvu hits ku-concur mainstream.
 
Mapenzi upofu, mapenzi uchizi, jamaa huwezi mwambia kitu akakuelewa kwa huyo dizasta.

"kufa kwa waganga, tutapungwa na walevi"
Yaani waganga wakipotea hata walevi watatibu watu.

Hawa kina dizasta, kina rapcha wanajivisha uking wasiostahiki.. Kipindi kina fid, profesa, mo teknik, binamu na watu kibao, wanafanya muziki serious hawa, ilibidi wawe wanachania bafuni wakienda kuoga.
Ndio hivyo tena hakuna watu nao wanajivika UKINGI.
He is not realistic, yuko kiushabiki zaidi.
 
Back
Top Bottom