Tribulation ni kama onyo kwa marapa wabana pua wote

Tribulation ni kama onyo kwa marapa wabana pua wote

Hii tribulation imekua kama onyo kwa wasanii wabana pua wote.

Nadhani ule ubishi wa nani anafaa kupewa crown ya Hip-pop umeisha hakuna cha Young lunya wala young nani, hakuna anaeweza kubattle na Dizasta.
Umemlinganisha na raptcha sio?
 
Utamjulia wapi sugu mdogo wangu,sugu ana albam 12 za hip-hop,albam ya mwisho alitoa 2002,kipindi hicho anatoa albam hapakua na msanii mwingine wa hip-hop aliyetoa albam,we sikiliza majigambo,matusi na mipasho ya wapuuzi wenzio wanaojiita wasanii, MCs
Humu kuna watoto sana.
Kuna siku niliandika habari ya Hashim dogo jamaa akareply anamueka Hashim dogo na hao kina Young Lunya kundi moja, jamaa alijua sababu Hashim dogo ameona neno dogo basi nayeye ni msanii wa kipindi hiki.

Halafu akaanza kunishambulia kwa matusi ndio nikafaham humu matoto yamejaa na hayajui vitu vingi.
 
Young killer the don "AGOST 13" aliua vibaya
Namkubali young killer ila kwenye swala la uandishi hakuna anaemfikia Dizasta vina..
ngoma kama kanisa ni nyimbo ya muda mrefu lakini vitu alivyoimba vinafanya ionekane bado mpya
 
Humu kuna watoto sana.
Kuna siku niliandika habari ya Hashim dogo jamaa akareply anamueka Hashim dogo na hao kina Young Lunya kundi moja, jamaa alijua sababu Hashim dogo ameona neno dogo basi nayeye ni msanii wa kipindi hiki.

Halafu akaanza kunishambulia kwa matusi ndio nikafaham humu matoto yamejaa na hayajui vitu vingi.
Hashim na mashairi yake yenye vina mwanzo kati na mwisho'...Sasa young lunya si anaropokaropoka tu kwenye mic na kupiga makelele
 
Namkubali young killer ila kwenye swala la uandishi hakuna anaemfikia Dizasta vina..
ngoma kama kanisa ni nyimbo ya muda mrefu lakini vitu alivyoimba vinafanya ionekane bado mpya
Dizasta ni mkali ila hakuna anachomzidi young killer kwa kila kitu

Hakuna ngoma kali ya Dizasta inayoizidi My power ya killer [emoji1] kama ipo itaje
 
Dizasta ni mkali ila hakuna anachomzidi young killer kwa kila kitu

Hakuna ngoma kali ya Dizasta inayoizidi My power ya killer [emoji1] kama ipo itaje
Vichekesho kama hivi mwenzetu unavipata wapi?
nahisi hata uyo msukuma anatamani kolabo na dizasta
 
Killer bado sana ivi unajua killer ata kukaza vocal

Kaelekezwa na kina dizasta vina

Unaijua nyimbo ya Mistari 16

Au saa mbovu

Kipindi killer yupo TAMADUNI music?

Infact hakuna raper mkali asiepita au kuwa na usikaji na TAMADUNI for now KIKOSI KAZI
Acha chuki wewe, young killer kaelekezwa na dizasta??? Imekuaje amekua mkali kuzidi

Killer anachange na soko.... unaijua new girlfriend story wewe killer ni killer
 
Dizasta nmemkubali kwenye nobody is safe 1,2,3 na 4 kaua kinoma ila sio level za killer
Screenshot_20230203-115355_YouTube.jpg
 
Dizasta ashasema yeye ni underground
Kama unafika sasa, karibu center ya tenzi..|
Kubwa kuliko empire state
shangaa bidhaa bila ya expire date..|
So my SINGLE line is like your entire verse..|
Kama unakichwa kigumu huwezi elewa kitu hapo kiufupi utatoka kapa..

wakati mnagombania tuzo mi nipo undeground nashikilia nguzo...|

swali- unazijua nguzo za hip hop?
 
Nakubali yuko vizuri, pia IQ yake ni kubwa sana

Mimi ni mpenzi wa mziki mzuri na dunia pia inatambua hilo.. ninamengi ya kujifunza kwenye hii dunia ila sio nguzo za hip[emoji16]

Mimi nasikiliza ngoma yoyote kali

Nyie ndio mnaofanya wasanii wenu waishie mitaani tu
 
Back
Top Bottom