Tribulation ni kama onyo kwa marapa wabana pua wote

Tribulation ni kama onyo kwa marapa wabana pua wote

rapa gani anaemzidi Dizasta kwenye upande wa kutembea na vina?
Wasanii wengi sahivi kwenye vina wako Randomly!

Hawaimbi wala kurap kama inavotakiwa, wanalazimisha kupenyeza maneno ili tu likae kwenye mzunguko wa biti but kiufundi linakuwa halisound.

Mashairi yanasheria zake. Kiukweli sojaona. I shout as a Music producer & Songs writer.
 
Hii tribulation imekua kama onyo kwa wasanii wabana pua wote.

Nadhani ule ubishi wa nani anafaa kupewa crown ya Hip-pop umeisha hakuna cha Young lunya wala young nani, hakuna anaeweza kubattle na Dizasta.
Hii imenifanya ni subscribe channel ya dizasta vina
 
Wasanii wengi sahivi kwenye vina wako Randomly!

Hawaimbi wala kurap kama inavotakiwa, wanalazimisha kupenyeza maneno ili tu likae kwenye mzunguko wa biti but kiufundi linakuwa halisound.

Mashairi yanasheria zake. Kiukweli sojaona. I shout as a Music producer & Songs writer.
Asante boss
 
We umeona umejibu hapo,siyo!!?..tuna kizazi Cha kipuuzi Sana tunaenda rithisha nchi,sijui nchi itakuaje huko mbele...wewe itakua ndiye yule uliyemchora Messi kwenye mitihani ya necta 2014
Sasa wewe umejibu nini hapo?
 
Marapa wanapublish mashpap wao
Nao wanapo-push ni makapi now
Hawapo properl prepared kwa mipapa yao
Papa duve mi ni punchline power house
 
Marapa wanapublish mashpap wao
Nao wanapo-push ni makapi now
Hawapo properl prepared kwa mipapa yao
Papa duve mi ni punchline power house
Hii ndiyo shida ya watoto,wanaandika majigambo tu kila uchao...nani anataka kusikilizia majigambo daily!?
 
Mistari mizuri.. Ila jinsi anavyorap haihamasishi kusikiliza. Abadili jinsi ya kuflow.
Ana flow kimbwiga sana, it irritates big tig time.

Na huyu anayempaisha kwenye huu uzi anaandika kizuzu, L na R zinamvuruga sijui na rap yenyewe imekorogwa namna hiyo.
Story tellers kina Prof J hawakuwa wakiandika mistari rubbish, ilikuwa yaani mtu wa rika lolote anasikiliza na anakuwa kama yuko na lecturer anaelimishwa.

Neno simple kama DELIVERY anaandika DERIVERY, [emoji706] [emoji706].
 
Back
Top Bottom