Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
Kwanini Young Thug anajulikana lakini Akili The Mc hajulikani?Kwa nini young killer anajulikana na dizasta hajulikani!?
Naona nishakujibu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Young Thug anajulikana lakini Akili The Mc hajulikani?Kwa nini young killer anajulikana na dizasta hajulikani!?
Dizasta ni storyteller ila kuna ngoma anazitoa kama mwendelezoTunatofautiana...
Nimesikiliza ngoma zake 2, nimeona hili jinsi anavyorap haivutii masikio kuendelea kusikiliza.
rapa gani anaemzidi Dizasta kwenye upande wa kutembea na vina?Uko nje ya biti mzee, mistari haijabalance inapitiliza mzunguko. Pia zingatia vina!
Mbona lunya kashachanwa katika sinaga swager 6, na mwenyewe alisema hana bifu na killerHuyo msukuma amalizane na lunya kwanza ndio aje kwa Black maradona.
Wasanii wengi sahivi kwenye vina wako Randomly!rapa gani anaemzidi Dizasta kwenye upande wa kutembea na vina?
We umeona umejibu hapo,siyo!!?..tuna kizazi Cha kipuuzi Sana tunaenda rithisha nchi,sijui nchi itakuaje huko mbele...wewe itakua ndiye yule uliyemchora Messi kwenye mitihani ya necta 2014Kwanini Young Thug anajulikana lakini Akili The Mc hajulikani?
Naona nishakujibu hapo
Literally dogo..Hadi lugha za watu mnaharibu!!!Look street verified legend (and)
No crown on my head
Ask around i 'd be claimed by the crown..|
King of underground riterally, am down to the earth..|
Mie wakike ni shoga hata hivyoo shoga Ako weweUmejuaje flani shoga kama nawewe sio shoga?
KabisaWe umeona umejibu hapo,siyo!!?..tuna kizazi Cha kipuuzi Sana tunaenda rithisha nchi,sijui nchi itakuaje huko mbele...wewe itakua ndiye yule uliyemchora Messi kwenye mitihani ya necta 2014
Hii imenifanya ni subscribe channel ya dizasta vinaHii tribulation imekua kama onyo kwa wasanii wabana pua wote.
Nadhani ule ubishi wa nani anafaa kupewa crown ya Hip-pop umeisha hakuna cha Young lunya wala young nani, hakuna anaeweza kubattle na Dizasta.
Kabla ya kuja tunapo- settle manguriMie wakike ni shoga hata hivyoo shoga Ako wewe
Asante bossWasanii wengi sahivi kwenye vina wako Randomly!
Hawaimbi wala kurap kama inavotakiwa, wanalazimisha kupenyeza maneno ili tu likae kwenye mzunguko wa biti but kiufundi linakuwa halisound.
Mashairi yanasheria zake. Kiukweli sojaona. I shout as a Music producer & Songs writer.
Sasa wewe umejibu nini hapo?We umeona umejibu hapo,siyo!!?..tuna kizazi Cha kipuuzi Sana tunaenda rithisha nchi,sijui nchi itakuaje huko mbele...wewe itakua ndiye yule uliyemchora Messi kwenye mitihani ya necta 2014
Hii ndiyo shida ya watoto,wanaandika majigambo tu kila uchao...nani anataka kusikilizia majigambo daily!?Marapa wanapublish mashpap wao
Nao wanapo-push ni makapi now
Hawapo properl prepared kwa mipapa yao
Papa duve mi ni punchline power house
KanisaHii ndiyo shida ya watoto,wanaandika majigambo tu kila uchao...nani anataka kusikilizia majigambo daily!?
SijakupataKabla ya kuja tunapo- settle manguri
Ongeza kazi kanda mseto sampuri
Afu kesho acha MAPULI yafanya uhisi umekua na hujapiga nyeto vizuri
Watoto wengi wanaorap siku hizi wanarap majigambo tuKanisa
Shahidi
Hatia
Confession of madson
Siku mbaya.
Zote hizo ni ngoma za majigambo kwako? Punguza ujuaji bro..!
Ana flow kimbwiga sana, it irritates big tig time.Mistari mizuri.. Ila jinsi anavyorap haihamasishi kusikiliza. Abadili jinsi ya kuflow.