Sheriff Hood
Member
- May 3, 2018
- 89
- 131
Kama miezi mitano hiviUmekuwa na hilo tatizo kwa muda gani? Umeweza kuwaona specialists wa nervous systems?
Asante sana
Hospitali yake ndo inaitwaje na ipo sehem gani boss?Dr Kang Msuguli General Hospital+255654363535
Ukiwa interested mtafute huyu Mkorea nina ufahamu naye mdogo wangu alikuwa na shida nahisi kama hii yako aliponea pale,japokuwa yeye ilikuwa upande mmoja mzima wa mwili wake
Kama mkazi wa Dar hospital ipo Mbezi Kwa Msuguli.Hospitali yake ndo inaitwaje na ipo sehem gani boss?
Niliwahi kusumbuliwa sana na occipital neuralgia, ambayo inafanana sana na hiyo ya kwako. Wababaishaji wa hospitalini waliishia kunipa pain killers tu. Baada ya kuteseka sana nilikuja kugundua vitu vinavyo trigger hayo maumivu. Too much vitamin A and too liittle vitamin B, too much caffeine. Hivi vitatu vilichangia kwa asilimia ndogo.Wakuu nasumbuliwa na maumivu makali upande mmoja wa uso kwenye shavu karibu na sikio. Maumivu haya yanakuja kila baada ya kupita muda fulani inaweza ikawa nusu saa, lisaa au masaa kadhaa, yakija yanadumu kwa sekunde kadhaa then yanatoweka, maumivu mithili ya shoti kali ya umeme, au kama mtu anakuchoma na kitu chenye ncha kali, maumivu yanakuja ghafla bila kuwa na dalili yoyote.
Kiukweli yananipa shida yananifanya niishi kwa wasiwasi sana.
Nilitumia vidonge vya kutuliza maumivu ya neva, ikatulia ila baada ya miezi mitatu yamerudi tena.
Naomba wataalam mnipe ufafanuzi jinsi ya kupata utatuzi wa kudumu wa tatizo hili. Hospitali ipi naweza kutibiwa na gharama zake zikoje.
Asante
Asante sana.. but naomba nisaidie kunielewesha mkuu unawezaje kupunguza vitamin A na kuongeza vitamin B?Niliwahi kusumbuliwa sana na occipital neuralgia, ambayo inafanana sana na hiyo ya kwako. Wababaishaji wa hospitalini waliishia kunipa pain killers tu. Baada ya kuteseka sana nilikuja kugundua vitu vinavyo trigger hayo maumivu. Too much vitamin A and too liittle vitamin B, too much caffeine. Hivi vitatu vilichangia kwa asilimia ndogo.
Poor oral hygiene and especially gum injuries/infections vilichangia kwa asilimia kubwa. Mara kadhaa nilifanikiwa kupona in less than 48 hours baada ya kusukutua na listerine japo mara mbili kwa siku.
Umejuaje kwamba vitamin A imezidi mwilini?Asante sana.. but naomba nisaidie kunielewesha mkuu unawezaje kupunguza vitamin A na kuongeza vitamin B?
dalili hizi zinafanana sana na trigeminal neuralgia (TN), aina ya maumivu ya neva ambayo hutokea kwenye uso. Imetajwa katika vyanzo vya matibabu rasmi kama NHS na healthdirect kama maumivu mkali ya ghafla, yanayotokea upande mmoja wa uso na yanayoweza kueleweka kama mshtuko wa umeme. Mara nyingi hudumu sekunde chache, na mara nyingi huanza ghafla bila utangulizi mkubwa wa dalili zingine.
Ufafanuzi wa hali hii (Trigeminal Neuralgia)
Neva ya trigeminal ni neva kubwa ya uso inayofanya kazi ya kusababisha hisia (uwezo wa kugusa/kuumwa) kwenye pua, shavu, uso na sehemu za chini/juu ya mdomo.
Katika trigeminal neuralgia, neva hii huongeza ishara za maumivu bila kusababishwa na jeraha la wazi. Maumivu haya ni yakali, ya ghafla, kama mshtuko wa umeme na mara nyingi yanatokea upande mmoja tu wa uso.
Kunaweza kuwa na vipindi ambavyo maumivu hayako kabisa (remission), lakini mara nyingi vinapunguza kwa muda tu.
SABABU
Sababu kubwa ni msongamano au msukosuko wa neva ya trigeminal kwa sababu ya mishipa ya damu kuipiga neva, au madhara mengine ya neva. Kwa wengine, neva inaweza kushindwa kutokana na msongo au jeraha la awali. Pia issues ya inflammation na kupungua kwa madini ya copper na carbon kwenye mwili
Anamnesis ya dalili – maelezo ya maumivu, muda, mzunguko, vimlisho.
Mtihani wa kimwili – kuona kama neva na misuli ya uso vinavyofanya kazi kawaida.
MRI scan – mara nyingi hutumika kutambua kama mishipa ya damu au kitu kingine kinagusana na neva.
Matibabu ya wakati huu
Dawa
Dawa za anticonvulsant kama carbamazepine ndiyo matibabu ya mstari wa mbele. Hizi huzuia ishara kali za maumivu kwa kukaza mapigo ya umeme kwenye neva.
Matibabu ya mfumo wa fahamu huwa ghali kuanzia vipimo na ikionekana tatizo basi upasuaji huwa ni ghali.
Hapana sina maumivu ya jino mkuu meno yako sawa hayaumi napata maumivu yanayokuja kwa mfumo wa kushambulia kwa sekunde chache na kuondoka.. maumivu ya jino yanauma kwa muendelezo hayaji kwa sekunde chache na kuondokaKumbe una maumivu ya jino tu
Piga mswaki vizuri kama una meno mabovu kang'oe au ziba
Usafi wa fizi na meno unachangia sana kuleta maumivu ya kichwa upande mmoja
Nilipitia sana hilo mpaka nikatengeneza meno yalitokuwa yanaleta usumbumfu
Asante sana Dr kwa sasa natumia dawa lakini jinsi siku zinavyokwenda naona dawa zinaanza kuwa hazisaidii natumia carbamazepine na neuro forte, naomba nishauri ni hatua gani nichukueAI.....
CallWakuu nasumbuliwa na maumivu makali upande mmoja wa uso kwenye shavu karibu na sikio. Maumivu haya yanakuja kila baada ya kupita muda fulani inaweza ikawa nusu saa, lisaa au masaa kadhaa, yakija yanadumu kwa sekunde kadhaa then yanatoweka, maumivu mithili ya shoti kali ya umeme, au kama mtu anakuchoma na kitu chenye ncha kali, maumivu yanakuja ghafla bila kuwa na dalili yoyote.
Kiukweli yananipa shida yananifanya niishi kwa wasiwasi sana.
Nilitumia vidonge vya kutuliza maumivu ya neva, ikatulia ila baada ya miezi mitatu yamerudi tena.
Naomba wataalam mnipe ufafanuzi jinsi ya kupata utatuzi wa kudumu wa tatizo hili. Hospitali ipi naweza kutibiwa na gharama zake zikoje.
Asante