Triple C kule Morocco hakuwa na Raha

Triple C kule Morocco hakuwa na Raha

Kwani huko viwanja vya Morocco alikuwa ananuna muda wote??
 
Kwanini makolo hamuwezi kukaa kwenye timu bila kumpa mchezaji fulani ufalme, alianza mafisango kaja okwi na sasa mnamuabudu chama.
 
20220212_225447126856.jpg
 
watoto wake pia walipapenda Tanzania zamani kabla ya mama yao kufariki walipofika walipapenda sana tofauti na morocco na akaamua as long as aataendelea kucheza simba watoto wake wasome hapa
 
Kule alikuwa inferior coz alikutana na quality players zaidi yake
Acha uongo ww shabiki wa utopolo, chama alikuwa kasha anza kuuwasha ata game yawisho aliyo cheza had Berkane wakashinda 4 chama ali assist 2
 
Kwani huko viwanja vya Morocco alikuwa ananuna muda wote??
Alikuwa ana nuna sanaaa hadi Ibenge akakosa raha, na una ambiwa hata uongoz wa Berkane walikuwa wapo tayar wakampangishie makazi katika jijinla Maraha Markesh au vasanlanca . wakizan chama ni mzee wa starehe na papuchi kumbe wapiiii ni watoto ndio walikiwa wanaona huyu dingi katuleta wapi huku?

Iv kuna mchezaj yeyote wa utopolo anae taman kurudi utopoloni ? Calinhos huko kwao Angola hana hataa mizuka na utopoloni
 
hivi unahangaika na utopwinyo ? last matches mbili za chama huko moroko kashinda man of the match
Mashabiki wa utopoloni acha midadi asubuhi asubuh kuwa man of the match ndio itamsaidia nn ? Injinia ana wahadahaa huyoo wa congo wale sio mali yenu ni y zahera pale utopoloni ni kituo chao cha kuvukia tu
 
Acha uongo ww shabiki wa utopolo, chama alikuwa kasha anza kuuwasha ata game yawisho aliyo cheza had Berkane wakashinda 4 chama ali assist 2
Ushasema mech ya mwisho.........so it's means......gari liliwaka siku moja tu
 
Alikuwa ana nuna sanaaa hadi Ibenge akakosa raha, na una ambiwa hata uongoz wa Berkane walikuwa wapo tayar wakampangishie makazi katika jijinla Maraha Markesh au vasanlanca . wakizan chama ni mzee wa starehe na papuchi kumbe wapiiii ni watoto ndio walikiwa wanaona huyu dingi katuleta wapi huku?

Iv kuna mchezaj yeyote wa utopolo anae taman kurudi utopoloni ? Calinhos huko kwao Angola hana hataa mizuka na utopoloni
Sijawahi kuona jitu liongo kama wewe humu jukwaani, nyoko zako
 
Back
Top Bottom