...84
Licha ya kujaribu mara kadhaa niweze kumdinya yunge mdogo, manyanda aligoma kabisa, mshangao nikimwachia tu, manyanda anadinda vibaya mno, hali ile ilinikosesha amani kabisa, nilimwona yunge mdogo pia akiwa kaishiwa pozi sasa, alivuta shuka na kuyafunika maungo yange ambayo nilikua nayatumbulia macho kila mara kwa uchu.
Hali hii imenishtua sana mpenzi, ngoja babu aje nimshirikishe, niliongea.
Kwani yunge mkubwa ulimkuta akiwa bikira? Aliuliza yunge mdogo.
Mimi: nilimkuta bikira ndio, lakini simpendi.
Yunge mdg: basi hilo linatosha kuniaminisha yeye ndo muhusika wa hali hii inayokupata, nasasa huwezi tena kufanya tendo na msichana ambae hajaguswa na mwanaume, kwa hilo nakupa pole.
Mimi: kivipi sasa?
Yunge mdg: inasemekana yunge mkubwa alikuwa anatakiwa kutolewa usichana wake na kijana ambae hajawahi kushiriki tendo la ndoa na mwanamke mwingine ili akamilishwe ukuu wake dhidi ya washirika wenzake, je baada ya tendo ulimruhusu afue shuka ama nguo mliyokuwa mmetandika wakati wa tendo?
Hapo moyo ulilipuka.