True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Wewe mdogo usie na kiherehere cha kunijibu na umeelewa nambie top 20 ilikua saangapi na sports round up ikafuatia ikiwa saangapi? Kama ni facts basi ziwe facts
Clouds Fm; siku ya Jumapili huwa na mtiririko ufuatao wa Vipindi;

1. Kile cha Dini cha akina Harris Kapiga na Huruma Charles.. Nadhani kinaitwa Gospel Trax
2. Top 20
3. Sports Round Up
4. Njia Panda ya Dr. Isack Maro
5. Nimesahau jina, ila mara nyingi mtangazaji wake ni John Jackson
6. Geah Habibu na mambo yake ya Taarab
7. Sports Extra
 
Kuongezea,zemani after njia panda ilkua inafata Total Request presenter akiwa mchomvu au dem fulan hv sahv yuko America
 
Neno senta naliona sana kwa story za kanda ya kaskazini zinazoandikwa huku
kila kijiji kina senta yake. Senta ya biashara, kunakopatikana mahitaji muhimu ya binadamu.

niambie huko kanda nyingine kwenye remote areas hakuna senta?

ina maana hujui maana ya senta?
 
Heading ya hii story haikunivutia kabisa,hvyo nilkuwa naipitiliza tu lakin kuna member niliona anaisifia kwenye ile story ya ujambaz wa chuga,tabora kigoma zambia ndo nikaamua niisake,nimeipenda sana

Weka weka na uongo ili iwe tamu zaidi
Nitag uko ndugu
 
Stori nzuri sana ndugu mwandishi,,,
Ila ongeza nyama kwenye episode zinakua fupi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…