Mijitu mipumbav sana..yaani tafsiri halisi ya muafrika. Sijui angekua amemlipa msimuliaji ingekuajeIla watu washenzi sana ,hamuwezi kukaa kimya tu mkasoma story pole pole bila naneno ya shombo
Wapuuzi sana nyie ,mnamtia najisi tu msimuliaji,kiufupi nyie nyooote watoa shombo mkalia kuti kavu
Wasalaaam.
Twideleko maana yake nini nkoi?Twidegeleko lolo Pettymagambo πππ
Maana ake tusikilizaneπππsijui ety PettymagamboTwideleko maana yake nini nkoi?
Kauli mbiu yetu ni twende pole pole mpaka ramadhani iisheπππUna mambo ya kike we jamaa,kwa hiyo unaona vizuri kuandika vimistari 2/3 na kuacha.
Story inachukua mwezi mzima-si ufala huo
Nahene. Wewe ni ng'wanike?Maana ake tusikilizaneπππsijui ety Pettymagambo
Bhebhe ng'wanike DahanMaana ake tusikilizane[emoji23][emoji23][emoji23]sijui ety Pettymagambo
[emoji38][emoji38][emoji38]ndugu zangu tuweni wastaarabu na akili za watu, hivi hamuogopi mtu anaingia hum tangu asubuh anachungulia tu, ukilogwa utasingizia nn.?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£...17
Tutaona, alisema yungu huku akitokomea sebleni!
Niliwaza sana! Je huyu binti amekuja kwaajili ya kujikinga na mvua kweli ama danganya toto?
Iweje mapema nilipomchombeza kwamba yeye mzuri akanambia sijamwona tu yunge mdogo, nakwamba siku nikimwona ntayafuta maneno yangu mara moja! Na vipi anitahadharishe kuhusu waschana wa pale kijijini kwa msisitizo sana?
Basi nilifungua kiredio changu nikajilaza, wakati nakaribia kupitiwa usingizi nilistuka yunge anabisha hodi!
Karibu, nikamwitiakia! Aliingia chumbani akasema nimevutiwa sana na nyimbo unazopiga kwenye redio yako! Napenda mno nyimbo hizi roma (katoliki) naomba tulale wote ila tusigusane, pale sebleni baridi kali linapita chini ya mlango! Nikamwambia poa! Kukuondolea wasiwasi mie nageuka mzungu wa pili!
Hapana tulale tu, unaonekana ni kijana uliyepevuka, hivyo nakuamini! Alisema yunge! Binti anaakili sana huyu, niliwaza,
Tulilala kila mtu shuka lake! Nlijitahdi kubana pumzi nisipumue kwa nguvu!
Nmeipenda radio yako! Niazme kesho nkasikilize kwaya,
No!
ππππππWe mshirikina jitahidi kuandika basi episodes ziwe nyingi
Sio unaandika moja then unaenda kuwanga na Nyunge zako