Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
SubhanaAllahNgosha mbona una kiburi na jeuri je wee ni[emoji2380][emoji2380] upinde nn
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Bas naomba anisamehe nimekosa mm nimekosa sanaSubhanaAllah
Mbona kumtusi hivyo mwenzio ilhali humlipi na Wala hujui anapitia changamoto gani
Shida ya akiliBas naomba anisamehe nimekosa mm nimekosa sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jane Msowoya. Wewe una akili. Sio vizuri kuhukumu hujui MTU anapitia changamoto gani.SubhanaAllah
Mbona kumtusi hivyo mwenzio ilhali humlipi na Wala hujui anapitia changamoto gani
Hance nikiona jina lako najua comment ni chai [emoji23] yaani nilijua nakutana na neno chaiiiMuendelezo
Watu wanajitoa akiliJane Msowoya. Wewe una akili. Sio vizuri kuhukumu hujui MTU anapitia changamoto gani.
Hance nikiona jina lako najua comment ni chai [emoji23] yaani nilijua nakutana na neno chaii
Hance nikiona jina lako najua comment ni chai [emoji23] yaani nilijua nakutana na neno chaii
Baada ya njapanda inafuata ON POINT na John Jackson [emoji91]Clouds Fm; siku ya Jumapili huwa na mtiririko ufuatao wa Vipindi;
1. Kile cha Dini cha akina Harris Kapiga na Huruma Charles.. Nadhani kinaitwa Gospel Trax
2. Top 20
3. Sports Round Up
4. Njia Panda ya Dr. Isack Maro
5. Nimesahau jina, ila mara nyingi mtangazaji wake ni John Jackson
6. Geah Habibu na mambo yake ya Taarab
7. Sports Extra
Tunga yako dad alfu ulete ujinga wa kuchelewesha story na kujibu watu ovyo ndio utajuwa ujuiWatu wanajitoa akili
Mtu humlipi Wala humnunulii bando na bado unamtukana tusi kubwa hivyo doh
Alfu wew jimama iko HV hiyo koment siyo kwamba nimemuamrisha aleta story yake Hapa hapn nilimuona anajibu koment za watu kwa jeuri na zarau juu kubwa ndio nikamuambia jje wee Ni upindeee [emoji2380]SubhanaAllah
Mbona kumtusi hivyo mwenzio ilhali humlipi na Wala hujui anapitia changamoto gani
Kijana uwe una edit post zako kabla hujatuma.Tunga yako dad alfu ulete ujinga wa kuchelewesha story na kujibu watu ovyo ndio utajuwa ujui
Kuwa [emoji2380] Ni kupenda kuomba na kurekezwaaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Eti "junia"[emoji23]120
Alikuwa anaimba nyimbo za malenga wa kisukuma waliokuwa wanashindana zamani enzi za mababu.
Tulifika pale bombani na babu aliwasalimia wote waliokuwa pale, nilitupa jicho kuona kama nitamwona yunge mkubwa, lakini sikufanikiwa kumwona na badala yake nilimwona yunge mdogo ambae tulipokutanisha macho tu, aliangalia pembeni kama mtu ambae hajafurahishwa na uwepo wangu.
Tuliendelea na safari kwa muda wa dakika 10 tukayafikia majaruba mengi yaliyonyooka huku nyasi laini zikiwa zinakaribia kumezwa na maji, kwa mbele kidogo kulikua na majembe matatu ya kukokotwa na ng'ombe (plau) yakiigeza ardhi na kufanya zile nyasi laini zimezwe na ardhi ile.
Haya yote ni majaruba yangu, na hawa wanatulimia sisi, alisema babu na kuongeza, hapa kila mwaka napata junia 30 mpaka 40, na shamba silimagi lote, ila kwa mwaka huu kwakuwa umekuja mdogo wangu nitaongeza majaruba manne kwaajili yako, hapa utakuwa na uhakika wa kupata junia 15 mpaka 17.
Kiukweli nilifurahi mno, kwani nilianza kupiga hesabu ya gunia 15 x 50000 =750k.
Free entry and exit. Mwandishi hakumwalika mtu kufuatilia tamthilia yakeMwandish zingatia haki zetu wasomaji na wafatiliaji ya maandiko yako
Sijakuandikia wewe lakiniFree entry and exit. Mwandishi hakumwalika mtu kufuatilia tamthilia yake
Sawa nitafanya hvyo worry not ila mm sijasomea uandishi Ni Dr wa binadamu SAS wapi na wapi na uandishi mkuuKijana uwe una edit post zako kabla hujatuma.
Huwa una makosa mengi kwenye uandishi