True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Seconded
 
Nakwambia kunavijana kule wamezaliwa na kukulia pale lakini mambo yanayofanyika hawajui kabisa na hata ukijaribu kuwaambia wanakataa eti kijiji cheo hakina mambo ya ulozi.

Boss tuendelee watu wengi wanafatilia story yako believe me
Hao wanao kusumbua ni wachache sana alafu wanakukubali kiaina
Ukipata muda tupia endelea na mambo yako usijibishane nao
 
😂 imebidi hadi kicheko kiniijie ghafla,..mkuu Antonnia uko vzr blaa,sidhan km Luna story inapita Jeiefu bila kuidhinishwa na ww mkuu,
Endelea kunipitishia vimemo kwa tag zako mujarrrrab mkuu😀
Pamoja Sana mkuu!!
 
Hatimae numewakuta,asnt kwa story ya kusisimua...haya leta mwendelezo [emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…