True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Kweli msukuma ni msukuma tu, hakuna mahala aliposifiwa sana akafanya vizuri. Ukiangalia namna alivyoanza akisakua wasomaji na sasa anavyoringa baada ya kuwapata ni dunia mbili tofauti 🤣.

Eeeenhe, Sukuma Oyeee, Oyee... Sio leo wala kesho itaendelea mwakani hamtaki andamaneni 🤗
Unakuta unatokea kikabila ambacho hata tukikikabidhi wilaya ya Kishapu hakitoshei humo.

Acha ulofa
 
Pettymagambo Mimi nafahamu, Mara nyingi MTU akiandika story kuhusu wachawi,hua anafuatwa inbox na wachawi au washirika wao na vitisho ili wasiendelee na hiyo stori ya kufichua Mambo Yao. Nahisi hili limekutokea.
Waambie wapenzi wasomaji wako ili wasiendelee kutegemea muendelezo.

Asalaam aleykhum.
Wabillah tawfiq.

Waislamu mmetunyima mapumziko hivi hivi waqt Kenya kesho wanarara.
 
Hizi story za kutunga ambazo huwa mnalazimisha kusema ni kweli ukifikia hatua flani zinakuwa ngumu sana kuendeleza. Hapo mtunzi huanza kukimbia kimbia na kutoa udhuru. Unamwona kabisa yumo humu anasoma tu comments ila anakuambia hivi na vile. Yaani ili mradi tu.
 
Huyu jamaa sio bure wahuni wampake mafuta tu na yeye akapimwe linda huu anaofanya hapa ni u****.
 
Hizi story za kutunga ambazo huwa mnalazimisha kusema ni kweli ukifikia hatua flani zinakuwa ngumu sana kuendeleza. Hapo mtunzi huanza kukimbia kimbia na kutoa udhuru. Unamwona kabisa yumo humu anasoma tu comments ila anakuambia hivi na vile. Yaani ili mradi tu.
Kaka kutunga sio kazi rahisi ujue???ohoooo
 
Back
Top Bottom