True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Uliniacha hoi pale ulipofika home na mama MTU mzima halafu bi mkubwa akahisi umekuja kumtambulisha mchumba home mpaka bi mkubwa akazimia.
Hii part nikikumbuka nacheka sana, unajua usimuliaji wa Analyse hauchoshi hasa kwa mpenda kusoma article ndefu

Ndio maana namwita the genius, yuko na vionjo vya kunogesha story acha kabisa. Mpangilio mzuri wa matukio mfano pale mwenge alipostrugle kupishana na yule mtu hii situation inamkuta kila mtu in real life

Hongera zake.
 
Pamoja sana master 👊👊
 
Shida ya jf dear yan notifications sometimes yes sometimes no....ngoja nikapasake
 
itabidi tuandae kampeni ya kufuta nyuzi humu, mods wakiona watu wanalalamika wafute tu ili wote tukose.
hivi mtu kama wa safari ya kitchanga mji ulioyekwa na m23 kwanini uzi bado upo.
mtu kama umughaka anavyotutesa.
jumlisha huyu dah nachoka.
Nahisi hawa jamaa wanangoja comments ili warekebishe nyuzi zao,kiukweli story zao za uongo uongo[emoji23]
 
Back
Top Bottom