True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Sasa Kama Ni Vita si tushirikishane tupigane wote mwaya😂😂😂..usitufanyie ivyoo
 
itabidi tuandae kampeni ya kufuta nyuzi humu, mods wakiona watu wanalalamika wafute tu ili wote tukose.
hivi mtu kama wa safari ya kitchanga mji ulioyekwa na m23 kwanini uzi bado upo.
mtu kama umughaka anavyotutesa.
jumlisha huyu dah nachoka.
 
Wakuu, kukaa kimya kwangu sio ki makusudi ama kuwakomesha kama baadhi wanavyodai,
Ieleweke kuna kutaitika vikali kama mimi ambavyo inanitokea kwa sasa,
Hii haihitaji kubembelezana ila mambo yakinikaa vizuri nitaendelea ila si leo wala kesho.
Tumeishaa
 
itabidi tuandae kampeni ya kufuta nyuzi humu, mods wakiona watu wanalalamika wafute tu ili wote tukose.
hivi mtu kama wa safari ya kitchanga mji ulioyekwa na m23 kwanini uzi bado upo.
mtu kama umughaka anavyotutesa.
jumlisha huyu dah nachoka.
Wale Ni [emoji2380]
 
Mleta Uzi anazo dalili za upinde upinde [emoji2380][emoji2380][emoji2380], period
 
Kweli msukuma ni msukuma tu, hakuna mahala aliposifiwa sana akafanya vizuri. Ukiangalia namna alivyoanza akisakua wasomaji na sasa anavyoringa baada ya kuwapata ni dunia mbili tofauti 🤣.

Eeeenhe, Sukuma Oyeee, Oyee... Sio leo wala kesho itaendelea mwakani hamtaki andamaneni 🤗
 
Back
Top Bottom