True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Hiyo ni next chapter chief. Ni kipande kipya kwenye masimulizi. Ukiachana na maisha baada ya pale, pia kuna maisha kabla ya pale ambayo hayajasimuliwa.

Ni kama movie series tu, season inapoisha, watazamaji huwa na hamu sana na season ijayo, maana inakuwa imeishia patamu 😅😅
kwaiyo unajikuta professor wa money heist mwenyewe 😂😂😂😂
 
Itaishaje wakati jamaa kila siku anaandika mistari 4 hadi 7 anapumzika?
Ashukuru story za Analyse na leadermoe zimefikia tamati/break ndio maana anatuona hapa.
Halafu mbaya zaidi kila siku anasimulia tangu kuamka,kupasha kiporo cha uji,kuchota maji na kusikiliza redio yake ya solar,Khaa!
naomba nitagi hiyo ya leadermoe nikasome
 
Itaishaje wakati jamaa kila siku anaandika mistari 4 hadi 7 anapumzika?
Ashukuru story za Analyse na leadermoe zimefikia tamati/break ndio maana anatuona hapa.
Halafu mbaya zaidi kila siku anasimulia tangu kuamka,kupasha kiporo cha uji,kuchota maji na kusikiliza redio yake ya solar,Khaa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom