True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Kwani hii story haijaisha tu??
Itaishaje wakati jamaa kila siku anaandika mistari 4 hadi 7 anapumzika?
Ashukuru story za Analyse na leadermoe zimefikia tamati/break ndio maana anatuona hapa.
Halafu mbaya zaidi kila siku anasimulia tangu kuamka,kupasha kiporo cha uji,kuchota maji na kusikiliza redio yake ya solar,Khaa!
 
ni mpaka ramadhan iishe... arosto ya msosi vs story ya yunge🙌🙌🙌
 
despicable-me-despicable-me-2-gru-despicable-me-wallpaper-preview (1).jpg
 
Back
Top Bottom