nana_
JF-Expert Member
- May 17, 2021
- 675
- 1,516
kwaiyo unajikuta professor wa money heist mwenyewe 😂😂😂😂Hiyo ni next chapter chief. Ni kipande kipya kwenye masimulizi. Ukiachana na maisha baada ya pale, pia kuna maisha kabla ya pale ambayo hayajasimuliwa.
Ni kama movie series tu, season inapoisha, watazamaji huwa na hamu sana na season ijayo, maana inakuwa imeishia patamu 😅😅