True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

...40
Nimwahidi kutomtenda, na kweli nilidhamiria hivyo kwani mambo alonionesha ndani ya siku mbili tu yalinifanya nimpende kupindukia!
Tulivaa nguo kisha akakunja mashuka yale na kuaga anakwenda kuyafua, sikuwa na shaka juu yake, nilimwomba aningoje kidogo, nilitoka mule ndani na kuingia jikoni, nilifukua majivu yaliyokua kwenye mafiga, haraka nikaweka kuni na kuanza kupulizia kwani kulikuwa na makaa kadhaa ya moto hayakuwa yameishilizia! Nilichemsha maji kiasi kwenye kikarai cha kunawia, niliweka chumvi kisha nikayabeba na kwenda nayo getoni kwangu! Niliingia kwa kunyata mpaka mlango wa chumbani, nilimwangalia yunge alieonekana kuzama kwenye hisia tamu sana kwani likua amelala chali, kanyoosha miguu na kuweka mikono kifuani, alikua anatabasamu na kufumba macho kila mara, hakika alikuwa kwenye hisia tamu.
Hodi, nilibisha hodi huku nikiwa nimeshafika kitandani.
Nataka nikukande mpenzi wangu, nilimwambia yunge,
Waoo! Alifurahi sana na kunikabidhi nyeti zake nizikande,
Maskini kumbe nilikua najiingiza hatarini!

Mhuuu
 
Umeona upuuzi ulioandika? Jameni kuweni siriazi basi, ukiona kmya jua ametaitika unaposema nimekuwa star,
Kweli star? Star? Star?
Kweli star? Yaani star?
Babu yako star,
Bibi yako star,
Yunge mkubwa star,
Yunge mdogo star,
We mwenyewe star,

Hahahaha

Shusha episode mkuu upatapo chance.
Uzuri wewe sio mgeni hapa JF.
 
Daaaah sina la kusema aiseee,nimesubilia naona holaa,inataka moyo,mtu unaanzisha story nzurii,alafu inaishia njiani..[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Daaaah sina la kusema aiseee,nimesubilia naona holaa,inataka moyo,mtu unaanzisha story nzurii,alafu inaishia njiani..[emoji34][emoji34][emoji34]
Jamaa kasema ataleta story jumatatu kuanzia saa moja usiku. Tujifunze kua na subra. Mbona dogo Yuko njema tu.
 
Back
Top Bottom