Samaya
Senior Member
- Oct 24, 2012
- 127
- 165
Siku imefika tushatoka church,tunasubria mwendelezo wakoNhibanzonkiza anaijua geta vijijini kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku imefika tushatoka church,tunasubria mwendelezo wakoNhibanzonkiza anaijua geta vijijini kweli?
MmhNimeacha kwenda kanisani ili nidome hizi epsode za mwisho jamaa kimyaa
...40
Nimwahidi kutomtenda, na kweli nilidhamiria hivyo kwani mambo alonionesha ndani ya siku mbili tu yalinifanya nimpende kupindukia!
Tulivaa nguo kisha akakunja mashuka yale na kuaga anakwenda kuyafua, sikuwa na shaka juu yake, nilimwomba aningoje kidogo, nilitoka mule ndani na kuingia jikoni, nilifukua majivu yaliyokua kwenye mafiga, haraka nikaweka kuni na kuanza kupulizia kwani kulikuwa na makaa kadhaa ya moto hayakuwa yameishilizia! Nilichemsha maji kiasi kwenye kikarai cha kunawia, niliweka chumvi kisha nikayabeba na kwenda nayo getoni kwangu! Niliingia kwa kunyata mpaka mlango wa chumbani, nilimwangalia yunge alieonekana kuzama kwenye hisia tamu sana kwani likua amelala chali, kanyoosha miguu na kuweka mikono kifuani, alikua anatabasamu na kufumba macho kila mara, hakika alikuwa kwenye hisia tamu.
Hodi, nilibisha hodi huku nikiwa nimeshafika kitandani.
Nataka nikukande mpenzi wangu, nilimwambia yunge,
Waoo! Alifurahi sana na kunikabidhi nyeti zake nizikande,
Maskini kumbe nilikua najiingiza hatarini!
kwanini lakini?
Nidomekwanini lakini?
Umeona upuuzi ulioandika? Jameni kuweni siriazi basi, ukiona kmya jua ametaitika unaposema nimekuwa star,Prettymagambo anazingua naona ameshakuwa star humu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hivi hiyo inauhusiano na "Kiniembe?"Kinehe?
ukimaanisha?Nidome
Babu yako star,Umeona upuuzi ulioandika? Jameni kuweni siriazi basi, ukiona kmya jua ametaitika unaposema nimekuwa star,
Kweli star? Star? Star?
Kweli star? Yaani star?
Jamaa kasema ataleta story jumatatu kuanzia saa moja usiku. Tujifunze kua na subra. Mbona dogo Yuko njema tu.Daaaah sina la kusema aiseee,nimesubilia naona holaa,inataka moyo,mtu unaanzisha story nzurii,alafu inaishia njiani..[emoji34][emoji34][emoji34]
Weeee nakuitia yunge akurogeMi naona story iishie hapa jamaa anaringa kuendelea
Anataka abembelezwe kama demu vileMi naona story iishie hapa jamaa anaringa kuendelea