Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akiinuka na kuelekea jikoni,
Nilijichekesha
UANDISHI WAKO WA KITOTO UNAWEKA MANENO MENGI YA UONGO AMBAYO KWA WATU WA KIJIJINI HAWAWEZI YATAMKA. UNATAKA KUONESHA UMECHANGAMKA SANA MPAKA UNAHARIBU. BADO JIFUNZE KUSIMULIA IONEKANE KAMA YA UKWELI. WEWE UNASIMULIA INAONEKANA NI UONGO KABISA....30
Nimekuja nzehe, umenieurahisha sana leo, alijibu yunge!
Mimi: nimekufurahisha vipi mchumba?
Yunge: ulivyomkaushia yule binti mchawi mpaka ameamua kuondoka!
Mimi: msichana mchawi nani?
Yunge: nani alikuwa hapa dakika kama 10 zilizopita? Kiufupi nimeona yote tangu anabisha hodi mpaka alivyoondoka, nilidhani utajipendekeza kwake kumbe nilijidanganya,
Nilijiona nimepiga bao la kisigino kama lile chama dhidi ya nkana,
Mimi: jana ulinitahadharisha juu ya huyu dogo, hivyo nilikuelewa kabisa,
Yunge: haya nisalimie mimi dada yako!
Mimi: dada yangu? Umeanza tena kunikwepa?
Yunge: kukukwepa nini, unataka nikuite nani ikiwa tumelala kitanda kimoja na hakuna kilichotendeka?
Mimi: sawa, shikamoo bibi,
Yunge: nani bibi yako hapa?
Mimi: wewe hapo, si unautaka ukubwa?
Yunge: sasa kwani uwongo mimi si mkubwa kwako?
Mimi: ndo nakuamkia shikamo bibi,
Yunge: ninazawadi nzuri kwako, twende nyumbani nikupatie,
Mimi: poa twende.
Tuliinuka na kutoka nje, nilifunga milango yote tukaondoka,
Kabla ha2javuka mwisho wa kiwanja...!
umeona eeehhh..... jamaa anadhani anasimulia watoto wenzie. mara babu yake alimtuma kisimani mara anaenda bombani anajichanganya tu. na uandishi wake dogo anaweka maneno ya kitoto tu hajui hata kusimulia.Hii ni chai,saa moja jioni kuku hajarufi bandani,saa moja jioni anaenda mashineni kusaga,mwezi december saa moja ni giza sana huko
dogo muongo sana. halafu hatumii akili kudanganya maana hana.. anafikiri sisi wote madogo wenzieWAJUAJI WAKIJA WATAKUULUZA
Mpaka sasa huyu bwana hajafikisha masaa 24 hapo ugenini kwa Babu yake kifupi alifika saa 12 na mpaka Sasa n saa nane mchana lakini sasa
👉Ameshajua kuku huwa wanakaa WAP mchana?
👉Kaonana na msichana jion nayeye akiwa mgen lakin usiku alimfungulia geto?
👉Saa 11 asubuh unasindika mtu ambae hujui kwao n wap na vp heshima yako kwenye mji husika ipoje?
👉Inakuaje we n mgen tena mjukuu ulipewa jina lababu alafu wote wanakuacha walijua we n mgen bila hata chakula Cha mchana?
👉Hukuwah kulala na msichana Ila mpaka sasa umeshalala nae na bado una shauku ya kupata mwingine.(mkojo wa kwanza kutoka kwa Mara ya kwanza huwa unakuchukua akili kwa aliyekukojolesha)
👉Unapata ujasiri gani kutoa nguo zako na shuka la Bibi yako liende kwenye mji usioufahamu ili Hali ulishataadhirishwa na Mambo ya ushirikina?
👉Muda n mchache Mambo n mengi.
Jamani achen mihemko hapa tupite Kama kuburudika na kuongeza kitu kichwan tusiwe serious Sana.
We Babu mbona ujuaji mwingi? Kama unaona mauongo toka nduki na usirudi tena hapa, sawa mze zakayo?dogo muongo sana. halafu hatumii akili kudanganya maana hana.. anafikiri sisi wote madogo wenzie
Kuna majamaa mabishi sana hapa!Watu mnamajungu balaa
Ukiambiwa ukweli jaribu kukubali acha kuandika upuuwwWe Babu mbona ujuaji mwingi? Kama unaona mauongo toka nduki na usirudi tena hapa, sawa mze zakayo?
Niandikie wewe huo ukweli sasa.Ukiambiwa ukweli jaribu kukubali acha kuandika upuuww
Simulia yako kaka tumeupenda uongo wakeUANDISHI WAKO WA KITOTO UNAWEKA MANENO MENGI YA UONGO AMBAYO KWA WATU WA KIJIJINI HAWAWEZI YATAMKA. UNATAKA KUONESHA UMECHANGAMKA SANA MPAKA UNAHARIBU. BADO JIFUNZE KUSIMULIA IONEKANE KAMA YA UKWELI. WEWE UNASIMULIA INAONEKANA NI UONGO KABISA.
Hana story. Labda alete za anavyohudhuria taarab Magomeni.Simulia yako kaka tumeupenda uongo wake
Maana yake "vipi"Hivi hiyo inauhusiano na "Kiniembe?"