True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Ukitaka kujua humu kuna watu hawana akili hata ya kuvukia barabara siku moja njoo na story yako unayotamani kushare na jamii

Utasikia Muongo, umecopy sio wewe, chai hii dah

Mtu anakwambia nimelala na njaa wewe unamwambia "Muongo" ulikuwepo?

Kuna siku nilitamani kushare na jamii na kuwaelezea simulizi flani jinsi nilivyofanikiwa kumkamata mwizi wa mitandaoni na zile njia nilizotumia na wao wezi njia wanazotumia

Yanii mimi mwenyewe ndio nimemkamata huyo Mwizi ,
Na Rb ninayo mfukoni anatokea mtu humu hata hana anachokijua anakwambia tu chai hio Muongo, umecopy wewe

Mara nyingi tunakosa kupata taarifa mbali mabli kwa sababu ya watu wachache wenye Tabia za utoto utoto na za kijinga zinawakatisha tamaa wasimuliaji


Binafsi nikifunga hadith au simulizi humu nikiona alijanipendeza naondoka bila ya kuaga sio kucomment vimaneno vya kuwakera wengine wanaofatilia
Story nyingi za uchawi ni za kutunga ila fresh tuu mradi tusisimuke kwa mtiririko wa matukio
 
Mtoa story endelea usipende kuhangaika na watoto. Hakuna wanachojua.
Ukiona wanakosoa ujue wanaifuatilia na wanaipenda. Hii ni namna yao ya kuapriciate.
Just endelea mpk umalize.
 
WAJUAJI WAKIJA WATAKUULUZA

Mpaka sasa huyu bwana hajafikisha masaa 24 hapo ugenini kwa Babu yake kifupi alifika saa 12 na mpaka Sasa n saa nane mchana lakini sasa

[emoji117]Ameshajua kuku huwa wanakaa WAP mchana?
[emoji117]Kaonana na msichana jion nayeye akiwa mgen lakin usiku alimfungulia geto?
[emoji117]Saa 11 asubuh unasindika mtu ambae hujui kwao n wap na vp heshima yako kwenye mji husika ipoje?
[emoji117]Inakuaje we n mgen tena mjukuu ulipewa jina lababu alafu wote wanakuacha walijua we n mgen bila hata chakula Cha mchana?
[emoji117]Hukuwah kulala na msichana Ila mpaka sasa umeshalala nae na bado una shauku ya kupata mwingine.(mkojo wa kwanza kutoka kwa Mara ya kwanza huwa unakuchukua akili kwa aliyekukojolesha)
[emoji117]Unapata ujasiri gani kutoa nguo zako na shuka la Bibi yako liende kwenye mji usioufahamu ili Hali ulishataadhirishwa na Mambo ya ushirikina?
[emoji117]Muda n mchache Mambo n mengi.



Jamani achen mihemko hapa tupite Kama kuburudika na kuongeza kitu kichwan tusiwe serious Sana.
Jamaa kaitunga sema kakosea vitu vichache sema story kali anajua kutunga
 
Mtoa story endelea usipende kuhangaika na watoto. Hakuna wanachojua.
Ukiona wanakosoa ujue wanaifuatilia na wanaipenda. Hii ni namna yao ya kuapriciate.
Just endelea mpk umalize.
Acha kupenda porojo
 
Back
Top Bottom