Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story nyingi za uchawi ni za kutunga ila fresh tuu mradi tusisimuke kwa mtiririko wa matukioUkitaka kujua humu kuna watu hawana akili hata ya kuvukia barabara siku moja njoo na story yako unayotamani kushare na jamii
Utasikia Muongo, umecopy sio wewe, chai hii dah
Mtu anakwambia nimelala na njaa wewe unamwambia "Muongo" ulikuwepo?
Kuna siku nilitamani kushare na jamii na kuwaelezea simulizi flani jinsi nilivyofanikiwa kumkamata mwizi wa mitandaoni na zile njia nilizotumia na wao wezi njia wanazotumia
Yanii mimi mwenyewe ndio nimemkamata huyo Mwizi ,
Na Rb ninayo mfukoni anatokea mtu humu hata hana anachokijua anakwambia tu chai hio Muongo, umecopy wewe
Mara nyingi tunakosa kupata taarifa mbali mabli kwa sababu ya watu wachache wenye Tabia za utoto utoto na za kijinga zinawakatisha tamaa wasimuliaji
Binafsi nikifunga hadith au simulizi humu nikiona alijanipendeza naondoka bila ya kuaga sio kucomment vimaneno vya kuwakera wengine wanaofatilia
Itakuwa ameliwa na fisiWe mzee mbona huendelei
sawa. lla mjue ndo tunawasaidia ninyi... basi tu hamtaki kuelewa.We Babu mbona ujuaji mwingi? Kama unaona mauongo toka nduki na usirudi tena hapa, sawa mze zakayo?
sawa basi awe anawasimulia vyumbani mwenu sababu hapa ni sehemu huru tumkosoe.Simulia yako kaka tumeupenda uongo wake
Msaada gani kwa maneno makali vile?sawa. lla mjue ndo tunawasaidia ninyi... basi tu hamtaki kuelewa.
Unamkosoaje mtu anaesimulia mambo yake yalomtokea wakati wewe hukuwepo?sawa basi awe anawasimulia vyumbani mwenu sababu hapa ni sehemu huru tumkosoe.
We mzee si uendelezeUnamkosoaje mtu anaesimulia mambo yake yalomtokea wakati wewe hukuwepo?
Ninawatu jamani! Nitapata nafasi si muda mrefu nianze kuziweka.We mzee si uendeleze
sisi tunaangalia kiwango cha uongo kwenye story. kikipitiliza tunaingilia kati. lengo ni kuwafanya watungaji wawe smart.Unamkosoaje mtu anaesimulia mambo yake yalomtokea wakati wewe hukuwepo?
Aendeleee nn wakati uongo wake umegoma kuunganisha matukioWe mzee si uendeleze
Hahhaa haha [emoji23][emoji23] we jamaa bhaanaaAendeleee nn wakati uongo wake umegoma kuunganisha matukio
anavuta vuta pumzi. story ya uongo sana. na anajua wabongo wanapenda sana uchawi.... kawapatia humo humo na uongo mwingi sana wa kitoto.Aendeleee nn wakati uongo wake umegoma kuunganisha matukio
Jamaa kaitunga sema kakosea vitu vichache sema story kali anajua kutungaWAJUAJI WAKIJA WATAKUULUZA
Mpaka sasa huyu bwana hajafikisha masaa 24 hapo ugenini kwa Babu yake kifupi alifika saa 12 na mpaka Sasa n saa nane mchana lakini sasa
[emoji117]Ameshajua kuku huwa wanakaa WAP mchana?
[emoji117]Kaonana na msichana jion nayeye akiwa mgen lakin usiku alimfungulia geto?
[emoji117]Saa 11 asubuh unasindika mtu ambae hujui kwao n wap na vp heshima yako kwenye mji husika ipoje?
[emoji117]Inakuaje we n mgen tena mjukuu ulipewa jina lababu alafu wote wanakuacha walijua we n mgen bila hata chakula Cha mchana?
[emoji117]Hukuwah kulala na msichana Ila mpaka sasa umeshalala nae na bado una shauku ya kupata mwingine.(mkojo wa kwanza kutoka kwa Mara ya kwanza huwa unakuchukua akili kwa aliyekukojolesha)
[emoji117]Unapata ujasiri gani kutoa nguo zako na shuka la Bibi yako liende kwenye mji usioufahamu ili Hali ulishataadhirishwa na Mambo ya ushirikina?
[emoji117]Muda n mchache Mambo n mengi.
Jamani achen mihemko hapa tupite Kama kuburudika na kuongeza kitu kichwan tusiwe serious Sana.
Acha kupenda porojoMtoa story endelea usipende kuhangaika na watoto. Hakuna wanachojua.
Ukiona wanakosoa ujue wanaifuatilia na wanaipenda. Hii ni namna yao ya kuapriciate.
Just endelea mpk umalize.
Kaongea vitu vingi vya uongo yaaani babu yake ndo awe anamuita dogo muongo mkubwa na Ole wake arudiJamaa kaitunga sema kakosea vitu vichache sema story kali anajua kutunga