Hapana bnaa ningekwambiaHiyo iliyonitag ni id yako nyingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana bnaa ningekwambiaHiyo iliyonitag ni id yako nyingine?
mwanaume mzima una susaUkitaka kujua humu kuna watu hawana akili hata ya kuvukia barabara siku moja njoo na story yako unayotamani kushare na jamii
Utasikia Muongo, umecopy sio wewe, chai hii dah
Mtu anakwambia nimelala na njaa wewe unamwambia "Muongo" ulikuwepo?
Kuna siku nilitamani kushare na jamii na kuwaelezea simulizi flani jinsi nilivyofanikiwa kumkamata mwizi wa mitandaoni na zile njia nilizotumia na wao wezi njia wanazotumia
Yanii mimi mwenyewe ndio nimemkamata huyo Mwizi ,
Na Rb ninayo mfukoni anatokea mtu humu hata hana anachokijua anakwambia tu chai hio Muongo, umecopy wewe
Mara nyingi tunakosa kupata taarifa mbali mabli kwa sababu ya watu wachache wenye Tabia za utoto utoto na za kijinga zinawakatisha tamaa wasimuliaji
Binafsi nikifunga hadith au simulizi humu nikiona alijanipendeza naondoka bila ya kuaga sio kucomment vimaneno vya kuwakera wengine wanaofatilia
Etimwanaume mzima una susa
We yule aliyeandika HOW I MATE MY WIFE unamfananisha na huyu anayetoa hadithi za muu ndo huu? Mzee ,JBourne59 ni bingwa ndugu tafuta story zake utampigia salute!Umeanza kuharibu ulipofika sehemu ya 36 na hasa 37. Mimi ni mwanaume kunidanganya acha!
Kikawaida kwa mwanaume kupita muda mrefu bila kufanya,siku akitunukiwa dakika 6 ni nyingi tukio zima linakuwa limekamilika,labda next round sasa ndipo hizo mbwembwe sijui kulamba mara blaablaa ndipo zitafuata.
Lkn pia ninahisi wewe ndiye uliyewahi kuandika thread yenye heading HOW I MET MY WIFE.
Sina uhakika sana ijapo kwa kipindi hicho sikuwa member bali nilikuwa mpenzi msomaji tu.
ChujioHilo jina Yunge lina maana gani, kuna jamaa/Mwanaume nilisoma nae chuo ilakua anaitwa hilo jina pia
Unataka connection yaAlafu we mbwa usijikite kusimulia X humu utakula ban ya maisha jikite kwenye mafunzo na hzo stori za Giza pia na location na connection yake utoe.
Nadhan umenielewa mbwa wewe
Kama unataka connection nichek ni free of Charge cha muhimu uwe serius na Nauli n juu yako unilipie nkupelekeUnataka connection ya
Ndio shida ya kukurupuka hiimwanaume mzima una susa
Chekecheo (nahisi lkn)Chujio