Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Twende mdo mdo mpaka ramadhan iishe.
sasa hivi swaum imewabana watu mbavu hawana uwezo hata wa kutukana😂😂
sasa hivi swaum imewabana watu mbavu hawana uwezo hata wa kutukana😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende mdo mdo mpaka ramadhan iishe.
sasa hivi swaum imewabana watu mbavu hawana uwezo hata wa kutukana[emoji23][emoji23]
😂😂Twende mdo mdo mpaka ramadhan iishe.
sasa hivi swaum imewabana watu mbavu hawana uwezo hata wa kutukana😂😂
Kanda ya ziwa kwa uchawi nawapa 5stars rating150
Niliogopwa na watu wote, si wakubwa tu, bali watoto pia, si wanawake tu, bali wanaume pia, nikaona sasa hii hali sio na bora nibadili zindiko ama adhabu kwa watu wavivu kufanya kazi ila wanataka wavune kuliko hata wanaofanya kazi, nikaweka zindiko ambalo mtu akija kufanya michezo yake shambani mwangu badala ya kuniibia basi yeye ndo huniletea mazao yake, alinieleza kwa urefu babu.
Pia licha ya yote yale ya watu kudhurika kila wafanyapo michezo michafu shambani, huwezi amini watu hawakukoma kuja tena wakiwa wamejipanga kwa mbinu mpya, na walipoona sasa hawadhuriki wakajua tayari wameshaniwezea, hawakujua kama nimebadiri zindiko na matokeo watayaona wakati wa mavuno, alimaliza kunieleza babu.
Inawezekanaje babu mtu amekuja mikono mitupu na akuongezee mazao kivipi? Nilimwuliza babu.
Mtu anaanza kukuharibia ubora wa mazao yakingali bado machanga kabisa, yaani utaona mimea yako haistawi vizuri ilihali huduma zote muhimu unaihudumia, sasa kama hukujipanga vizuri utalia wakati wa mavuno, yani unagawana nao.
Wewe hulali? Nikasema ngoja niandike chap wakija kuamka imo, kumbe kunamijamaa inanicheki tu, hatari!Kanda ya ziwa kwa uchawi nawapa 5stars tating
Bado nipo shusha vitu mkuu kama haulali mda huuWewe hulali? Nikasema ngoja niandike chap wakija kuamka imo, kumbe kunamijamaa inanicheki tu, hatari!
Tupia nyingine chap kabla hawajaamka,watapunguza utamuWewe hulali? Nikasema ngoja niandike chap wakija kuamka imo, kumbe kunamijamaa inanicheki tu, hatari!
Tatu midomo yake haina breki kabisa unaweza mpiga makofi.152
Nikweli jana homa ilinibana na kichwa kikawa kinaniuma sana ndipo babu akanitengenezea dawa, ila kwa sasa najiona afadhali kidogo, nilimdanganya yunge mdogo.
Samahani nzehe, naweza kuja usiku wa leo tukaongea jambo muhimu sana? Aliniuliza kwa upole yunge mdogo ambapo nilimkatalia kistaarabu bila kumchukiza kwa kisingizio naumwa hivyo nahitaji kupumzika.
Aliondoka huku nikiwa nimemwahidi siku nikijisikia vizuri nitamwambia aje tuongee ishu yake hiyo ya muhimu huku nikiwaza atakua anataka sex tu.
Siku ilofuata mida ya saa 6 bibi aliniomba nimsaidie kufata maji japo dumu 1 kwani alikuwa kaishiwa maji ya kunywa na vibarua karibu wanakuja kupata msosi.
Nilifika kisimani na kuwakuta wasichana kadhaa na tatu akiwemo.
Kwahio ukanifanya mtoto mdogo kuniweka nakungoja hutokei mpaka nikachoka? Alinidaka tatu juujuu, alafu sijui unaringa nini tu, kwahiyo unajiona mzuri sana ama hizo chale alizokuchanja babu yako ndo zinakupa kiburi? Naunavyonuka jasho sijui umeambiwa usioge wiki nzima ili dawa ikukae sawasawa?
Tatu hajaaribu dawa kweli?153
Aliendelea kuniporomoshea maneno ya shombo tatu nikiwa nangoja zamu yangu ya kuchota maji na kweli aibu flani ilinikumba kwani chale zilionekana waziwazi mwilini mwangu.
Sasa kama umepewa sharti la kutokuoga mimi nakuosha ili tuone sasa maana huwezi niweka nakusubiri kumbe wewe unawanga na babu yako huko, aliongea tatu kama masihara kweli nilishtuka nimemwagiwa maji kifuani, mwaaa!
Nilishangaa na hasira zikanipanda mno, nilimfata pale juu ya bomba na alikua akiningoja nimfanye nachotaka ili anioneshe umwambawake kwani alisimama na kuniangalia kwa dharau na kujiamini mno.
Paah! Nilimweka kofi 1 la ujazo ambalo lilimpeleka chini huku akiugulia maumivu.
Mh! Mh! Mh! Mh! Aliguna huku akiwa pale chini, alinikazia macho yake kwa hasira nami nikayakaza yakwangu, taratibu joto la mwili likawa linanipanda na ghafla zile chale zote zikawa zinawasha huku zinacheza mno, tuliendelea kukaziana macho na ghafla tatu alipiga yowe la maumivu huku akishika kichwa.
Joto lilinishuka ghafala na tahamaki chale zinatoa damu!