Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Matusi yanakusaidia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi yanakusaidia nini?
Ulipataga mume[emoji848]Ilitakiwa jf zipime uwezo wa akili ya mtu kabla ya kumpa account maana nikuaibishana uku
Success never come to people who listens to too many whistles.
My friend JF is a jungle with too many animals, braves to fools
Dont base to fools dear fella, those are dogs in the Cage, that make you lose direction, infact they can not bite
😀 in this thread I thought only few will get these but I am wrong 😀Fact, and now am back again to entertain my fans, enjoy my story.
Babu kakumbuka enzi zake[emoji23]165
Babu aliongea maneno mengi kwa kikabila ambapo baadhi niliyaelewa na mengine yalinipita bila kuambulia maana yake.
Nilimsikia akisema ndugu zangu, nimeishika leo hii silaha yenu ya maangamizi si kwa lengo la kulipa kisasi ama kumwadhibu mbaya wangu, bali naomba msaada kijana wangu ameonewa na msichana ambae ni mkuu wa miliki ya giza kwa upande wa kati, tena pasipo kujua aliingia nae maagano ya damu kwa kumvua usicha wake, sasa anataka kumsumbua na mimi sitaki kumwumiza binti yule, kama nilivyokwisha kuwaambia ndugu zangu sitaki tena kumwaga damu ya mtu, nataka niishi maisha yangu ya uzeeni kwa amani kabisa, aliongea maneno yale babu akiwaomba watu wasioonekana.
Nikiwa nimefumba macho huku nayatafakari maneno yale ya babu, ilionekana zamani alikuwa mwanga huyu naye, kwani amejuaje kwamba yunge alikuwa ni mkuu wa kanda ya kati? Pia nilimsikia akisema hataki tena kumwaga damu ya mtu, huyu mzee ni mlozi naye tu, niliwaza.
Shusha mkono chini na uunyoshe kwa mbele, alinambia babu nami nikafanya vile.
Paaah!
[emoji3] in this thread I thought only few will get these but I am wrong [emoji3]
Kumbe kuna wasomi[emoji1787]
Uko mbali sana rudi ulipoishiaHuu uzi jamaa alendelea??maana nina muda sijapita
Babu inabidi apew miwani😀Babu macho yaling’aa kama wale kwenye movie za Marvel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana 😂😂😂😂Babu inabidi apew miwani😀
😀😀😀 wabaya wanataka kutuvurugia story yetuNimecheka sana 😂😂😂😂
Watuache😀😀😀 wabaya wanataka kutuvurugia story yetu
Hata kama wanadai ni chai hawakuitwa hapa wacha tuinywe sisi tunapenda iwe ya moto moto. Pumbav sana
[emoji28][emoji28]babu kakutanishwa na komboraBabu macho yaling’aa kama wale kwenye movie za Marvel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hawanywagi chai?😀😀😀 wabaya wanataka kutuvurugia story yetu
Hata kama wanadai ni chai hawakuitwa hapa wacha tuinywe sisi tunapenda iwe ya moto moto. Pumbav sana
Tena ikizidi sukari inakuw Tamu sana isije zidi majani tu😀 itakuw chunguKwani hawanywagi chai?
Waache unafiki hakunaga kipimo cha stori ya kweli na uongo