Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Hili neno nimelisikia miaka kama 12 iliyopita Nyamarembo, Geita 😂😂Mmeanza wagagaikoko!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili neno nimelisikia miaka kama 12 iliyopita Nyamarembo, Geita 😂😂Mmeanza wagagaikoko!
Aaah kmmk wewe kabila gani?Wasukuma wengi ni viazi
Dee Andy yupo Magic Fm na ameolewa mwaka jana nadhani.Kuongezea,zemani after njia panda ilkua inafata Total Request presenter akiwa mchomvu au dem fulan hv sahv yuko America
Sawa lolo.
Subiria nitaweka sasa.
We nae na hiyo Ramadan inatuhusu nini wengine?Pettymagambo please reduce the speed of posting this story..
we need to read it until Ramadhan end..
No hurry in Africa
Ramadhan inamuhusu kila binaadam, laiti ungezielewa faida zake tu.We nae na hiyo Ramadan inatuhusu nini wengine?
HAINIHUSU na haitokaa INIHUSU!Ramadhan inamuhusu kila binaadam, laiti ungezielewa faida zake tu.
Oya mimi ni Msukuma mwenzio tena wa Miti mirefu, Geita kabisa ila unafanya tuonekane wasukuma wote ni mandezi.186
Nilishika njia ya kwenda nyumbani baada ya kuachana na tatu, nilifika nyumbani nikiwa naukumbuka utundu wa tatu kule kichakani alivyoninyoosha kwenye mnyanduano, yaani badala ya kumnyandua mimi, yeye ndo alinyandua, alikuwa na utamu wa tofauti kabisa na kina yunge wote wawili labda ni kutokana hawakuwa wazoefu kwenye maswala yale tofauti na tatu aliyeonesha ni mwamba kwelikweli.
Mchana wa saa 7 babu alinitaka tuongozane kwenda kule mbugani {bondeni} hivyo nilibeba panga kisha tukaongozana na babu kwenda mbugani huku moyoni nikiwaza leo naenda kula tena kambale.
Njiani tulipiga stori za hapa na pale.
Babu: ehe nambie umebahatika kumwona mlengwa wetu leo?
Mimi: ndio babu, nilimwona na mambo nimeshayaka sawa kabisa, yaani ni sisi tu.
Babu: safi sana, ilikuwaje?
Nilimweleza yote yaliyotokea mpaka kule kichakani kitendo ambacho kilimchekesha sana babu na kunisifu kwa jambo lile.
Unajua tunataka tumtumie yule binti atupe kinga moja yenye nguvu sana ambayo aliachiwa na bibi yake kwa ajili ya kumkinga.
Ona nime blink mara moja tu nishamaliza hapa kote187
Kwahio jitahidi umfanye tatu kila utakachomwambia asiweze kukupinga kwa kuhofia atakuuzi mpenzi wake, na jambo hili nataka lifanyike ndani ya siku mbili hizi, nataka tuipate haraka hiyo kitu na itusaidie, alisema babu huku sasa tayari tukiwa tumefika pale bondeni.
Nilishangaa kuona yale majaruba yaliyokuwa yanalimwa juzi tu, tayari yalikuwa yamepandwa mpunga na ulianza kustawi vizuri sana.
Hivi babu nikweli nilizimia kwa wiki mbili? Maana nakumbuka mara ya mwisho kufika hapa mbugani hapakuwa pamepandwa mpunga, lakini leo naona mpunga tena umestawi vizuri kabisa, nilimwuliza babu ambae alinijibu kuwa nilipoteza fahamu kimkakati na kwamba nitulie niachane na stori ile kwani tunakazi ngumu ya kufanya mbele yetu.
Tuliyapita majaruba tukaelekea kule kulipokuwa na bustani kubwa ya migomba, ndizi mbivu zilikuwa nyingi kwenye mikungu, tulikula mpaka tukatosheka.
Babu: Unauona ule mti?
Mimi: nauona babu, unanini kwani?
Babu: huu mti, ni dawa nzuri mno kwa mwanaume, ebu chimba mizizi yake nikuoneshe.
🤓🤓🤓🤓Nakupa masaa 72 uwe umeweka kisa kingine. Familia , familia... Kwani nani hana familia? Acha hizo habari. Wananchi wanataka uwape kisa kingine nakushauri ufanye hivyo NISIJE NIKAFANYA KAMA AMBAVYO NLIWAHI MFANYIA MEMBER MMOJA HUMU NDANI.
Hahahah kumbe wa miti mirefu tupo wengiOya mimi ni Msukuma mwenzio tena wa Miti mirefu, Geita kabisa ila unafanya tuonekane wasukuma wote ni mandezi.
Story yako ni kama inazunguka palelale haiendi mahali embu tandika kitu ndefu tunapoenda lunch tu tuisome vizuri
Inawahusu waisilam pekeeRamadhan inamuhusu kila binaadam, laiti ungezielewa faida zake tu.
Kabila la wegero kwetu Ni mpunga. Hili kabila linapatikana Sana sehemu za Mombasani na Kilifi.Aaah kmmk wewe kabila gani?