True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

Wewe ndo una akili ndogo Uzi mubovu unataka uchangiwe kafanya kazi huko huku Kuna watu Wana madini hatari huandika hadi kuhusu Raisi wa awamu zijazo naikatimia sembuse wewe, isituchoshe na story zako za kijinga, hamna wa kuchangia humu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama mzima unahangaika kusoma story mbovu? Utakuwa mbovu kuanzia ubongoni mpk kwenye damu
Ha ha ha ha
Unatoa mpk povu kwa story siyo yako kisa katoa story nusu.
Ha ha ha ha
JF kuna matahira wengi sana
Story haitoki na ukitaka andamana ukiwa naked.
Hakuna mtu mwenye shida na pesa yako ya kudanga.
Tatizo linaanzia pale unapokuwa hauna kazi unashinda mtandaoni.

Tahira kweli na story yako uchwara na hamna wakukukuchangia hela ya bundle hutaki kunya bogs[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siwezi kukulaumu kwasababu shida inaanzia
Hauna kazi ya kufanya na unashida mtandaoni.
Mimi siyo mtoa uzi na km ningekuwa nashida na kusoma ningemrushia vocha ya 500 au buku akaleta story. Tuishi kizungu zaidi. Mtu akikupa free luch basi usiwe kero kwake.
Kaamua kusimulia kwa hiari yake. Akipata muda ataweka nitasoma.
Wewe ambaye hauna kazi ya kufanya zaidi ya kushinda mtandaoni ndiyo utaanza kuwalaumu watu.
Pole sana. Tafuta kazi ya kufanya wala hautangaika kusoma strory mbovu za watu.
Ha ha ha ha ha ha
JF raha sana
Tahira kweli na story yako uchwara na hamna wakukukuchangia hela ya bundle hutaki kunya bogs[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ndo huna kazi kulia lia uchangiwe baki tu na story yako ya kijinga humu isiyo ma kichwa wala miguu
 
Mrembo punguza ukali wa maneno
 
Naona ni kama ile michezo ya kamari...mmoja anachezesha mwengine anakua pembeni kama mtazamaji......asipigwa mtu huu uzi sijuii
 
Nawewe Yanini kuchambana na mtoto wa kike kama hivyo, mwanaume gani unatoa mipasho kama chausiku ndala ndefu?

Aniwei... Ila wewe ndio huyo mtoa Uzi, umeamua kuja na ID nyengine kujipigia debe. Nikukumbushe tu..

Thread za aina hii zimeshakuja nyingi mno, na hawakuwahi kuchangiwa hata mia mbovu. Kwaiyo usijichoshe mzee, nyanyuka hapo kwenye kochi la shemeji kafanye kazi.
 
Mrembo punguza ukali wa maneno
Hahaaa hawa vijana Wana utoto humu bana huku Kuna watu Wana madini hatari tena yenye manufaa kwa nchi sio hawa wanadengua mara wachangiwe chsngiwe
 
Hahaaa hawa vijana Wana utoto humu bana huku Kuna watu Wana madini hatari tena yenye manufaa kwa nchi sio hawa wanadengua mara wachangiwe chsngiwe
Wahurumie tu then potezea si unajua tena jf ni kisima kirefu inakila aina ya watu
 
Wahurumie tu then potezea si unajua tena jf ni kisima kirefu inakila aina ya watu
Hii tabia ya kuchangiwa kisa Uzi naipinga kwa nguvu zote sio uugwana[emoji23][emoji23]huku tozo huku michango[emoji23][emoji23]
 
Hii tabia ya kuchangiwa kisa Uzi naipinga kwa nguvu zote sio uugwana[emoji23][emoji23]huku tozo huku michango[emoji23][emoji23]
,[emoji28][emoji28][emoji28]kumbe shida ni michango? Sasa umekosea ungengoja mpaka aombe mchango kwanza.
 
Hii tabia ya kuchangiwa kisa Uzi naipinga kwa nguvu zote sio uugwana[emoji23][emoji23]huku tozo huku michango[emoji23][emoji23]
Hivi kuna sehemu kaomba mchango?? Au mie ndio sijaelewa ? Haaa haaa naona unamkomalia kijana mkuu !!!
 
Tusimhukumu jamaa kiivo aisee, hajaomba mchango kwa mtu yeyote, kwanini mnamlisha maneno.

Si ajabu ana janga huko limempata uraiani, mbona tunaishi kama vile maisha ni jf tu ukiachana na kazi pia kuna majanga kibao yanaweza kumkuta kama kuibiwa sim, kuumwa, kuuguliwa aisee ni mengi, uvivu, uchovu.

Kuna majukwaa kibao humu tuperuzi huko akileta haya akikacha sawa sidhani kama inapunguza kitu zaidi zaidi itafanya tusiwe na iman na hii id.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…