Wa Katutura
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 366
- 450
Namimi naweka kambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo una akili ndogo Uzi mubovu unataka uchangiwe kafanya kazi huko huku Kuna watu Wana madini hatari huandika hadi kuhusu Raisi wa awamu zijazo naikatimia sembuse wewe, isituchoshe na story zako za kijinga, hamna wa kuchangia humu[emoji23][emoji23][emoji23]Akili ndogo ni pale unapomlazimisha mtu amalize strory wakati hujamchangia hata mia wala haujamfungulia uzi
Nani anahitaji achangiwe siyo km wewe unahitaji uchangiwe story?
Utakuta mtu yupo shamba au kazi zimembana huko anapambana.
Anapoweka story anajua anachofanya. Kaa utulie, akitupia story soma asipotupia unatulia tu mpk atakapopata muda.
Umenifanya nicheke sana. Kwa hali hii ndiyo maana wanatoa story nusu.
Wewe ndo una akili ndogo Uzi mubovu unataka uchangiwe kafanya kazi huko huku Kuna watu Wana madini hatari huandika hadi kuhusu Raisi wa awamu zijazo naikatimia sembuse wewe, isituchoshe na story zako za kijinga, hamna wa kuchangia humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tahira kweli na story yako uchwara na hamna wakukukuchangia hela ya bundle hutaki kunya bogs[emoji23][emoji23][emoji23]Mama mzima unahangaika kusoma story mbovu? Utakuwa mbovu kuanzia ubongoni mpk kwenye damu
Ha ha ha ha
Unatoa mpk povu kwa story siyo yako kisa katoa story nusu.
Ha ha ha ha
JF kuna matahira wengi sana
Story haitoki na ukitaka andamana ukiwa naked.
Hakuna mtu mwenye shida na pesa yako ya kudanga.
Tatizo linaanzia pale unapokuwa hauna kazi unashinda mtandaoni.
Tahira kweli na story yako uchwara na hamna wakukukuchangia hela ya bundle hutaki kunya bogs[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndo huna kazi kulia lia uchangiwe baki tu na story yako ya kijinga humu isiyo ma kichwa wala miguuSiwezi kukulaumu kwasababu shida inaanzia
Hauna kazi ya kufanya na unashida mtandaoni.
Mimi siyo mtoa uzi na km ningekuwa nashida na kusoma ningemrushia vocha ya 500 au buku akaleta story. Tuishi kizungu zaidi. Mtu akikupa free luch basi usiwe kero kwake.
Kaamua kusimulia kwa hiari yake. Akipata muda ataweka nitasoma.
Wewe ambaye hauna kazi ya kufanya zaidi ya kushinda mtandaoni ndiyo utaanza kuwalaumu watu.
Pole sana. Tafuta kazi ya kufanya wala hautangaika kusoma strory mbovu za watu.
Ha ha ha ha ha ha
JF raha sana
Mrembo punguza ukali wa manenoWewe ndio una kihoja na mjinga kuna ntu alikwambia uanzishe Uzi si viherehere vyenu kuanzisha mada robo Ili mvhangiwe bundle, unafikiria bundle za kuchangiwa zinaondoa umaskini mxiiiiiew.
Hafu alikwambia wanaongia humu hawafanyi kazi ni nani?
Mitoto mizima hovyo inatafta buku buku JF mtaja geuzwa na wanaume wenzenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona ni kama ile michezo ya kamari...mmoja anachezesha mwengine anakua pembeni kama mtazamaji......asipigwa mtu huu uzi sijuiiMzee kingalu si alishafariki? Ila huku kuna mambo mazito sana, nipo mitaa ya huko huko unapopazungumzia mkuu. Nna jambo langu. Na story za huku nazisikilizia kwa umakini, kuanzia kiloka, mkuyuni, tununguu na msitu wa kibungo..tuendelee mkuu. All in all huku kuna mali kibao, mbali na hizo ngumu kumeza ( mercury ) kuna mawe ya kutosha...
Nawewe Yanini kuchambana na mtoto wa kike kama hivyo, mwanaume gani unatoa mipasho kama chausiku ndala ndefu?Siwezi kukulaumu kwasababu shida inaanzia
Hauna kazi ya kufanya na unashida mtandaoni.
Mimi siyo mtoa uzi na km ningekuwa nashida na kusoma ningemrushia vocha ya 500 au buku akaleta story. Tuishi kizungu zaidi. Mtu akikupa free luch basi usiwe kero kwake.
Kaamua kusimulia kwa hiari yake. Akipata muda ataweka nitasoma.
Wewe ambaye hauna kazi ya kufanya zaidi ya kushinda mtandaoni ndiyo utaanza kuwalaumu watu.
Pole sana. Tafuta kazi ya kufanya wala hautangaika kusoma strory mbovu za watu.
Ha ha ha ha ha ha
JF raha sana
Hiyo ni kama almasi mkuu. Mwenye story bwege nazi mmoja huko Twitterjamani natafuta ile story ya magaidi wa kibiti, nikifika sehem ya 4, baada ya hapo uzi sikuuona. Mwenye mwendelezo anisaidie
Hahaaa hawa vijana Wana utoto humu bana huku Kuna watu Wana madini hatari tena yenye manufaa kwa nchi sio hawa wanadengua mara wachangiwe chsngiweMrembo punguza ukali wa maneno
Wahurumie tu then potezea si unajua tena jf ni kisima kirefu inakila aina ya watuHahaaa hawa vijana Wana utoto humu bana huku Kuna watu Wana madini hatari tena yenye manufaa kwa nchi sio hawa wanadengua mara wachangiwe chsngiwe
Hii tabia ya kuchangiwa kisa Uzi naipinga kwa nguvu zote sio uugwana[emoji23][emoji23]huku tozo huku michango[emoji23][emoji23]Wahurumie tu then potezea si unajua tena jf ni kisima kirefu inakila aina ya watu
,[emoji28][emoji28][emoji28]kumbe shida ni michango? Sasa umekosea ungengoja mpaka aombe mchango kwanza.Hii tabia ya kuchangiwa kisa Uzi naipinga kwa nguvu zote sio uugwana[emoji23][emoji23]huku tozo huku michango[emoji23][emoji23]
Hivi kuna sehemu kaomba mchango?? Au mie ndio sijaelewa ? Haaa haaa naona unamkomalia kijana mkuu !!!Hii tabia ya kuchangiwa kisa Uzi naipinga kwa nguvu zote sio uugwana[emoji23][emoji23]huku tozo huku michango[emoji23][emoji23]
bureeHii tabia ya kuchangiwa kisa Uzi naipinga kwa nguvu zote sio uugwana[emoji23][emoji23]huku tozo huku michango[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kuna sehemu kaomba mchango?? Au mie ndio sijaelewa ? Haaa haaa naona unamkomalia kijana mkuu !!!
[emoji120][emoji120]Nakupenda
buree
Ndio anakoelekea huko,[emoji28][emoji28][emoji28]kumbe shida ni michango? Sasa umekosea ungengoja mpaka aombe mchango kwanza.