True Story: Kupenda

True Story: Kupenda

Ingekuwa miamala yote naituma kwa cm ungeona screen shot,,, tatizo miamala mwingine natuma kwa wakala moja kwa moja kuepuka Makati makubwa,

tangu mwez wa 5 adi leo amekula Kama 300K au 400K yangu
Nabado unakomaa, kijana hiyo nguvu ukiwekeza kwenye utafutaji utafika mbali sana.
 
Dah! Vitu vingine jamani! Looks huna hata 20 years. Utamuintroduce sasa iweje!
Wengi wao husoma mazingila. Kama unaeleweka,atakuwa karibu. Kama hueleweki, ndo hivo.
Sasa, hapa inaonekana ndo unamtongoza. Hata hujapewa chochote. Hayo mahusiano yalikuwa serious kivipi?
 
Nilikuwa napambania nafasi, hatujawahi kuwa na mahusiano japo alikuwa akionesha dalili
 
Ok,kumbe. Pole sana.
Sasa,elewa kwamba hata litoto la kike la 13 years! Unarohisi halijitambui,neno nakupenda,nikubalie,na mengine mengi,hataki hata kuyasikia.
Sasa,huyo hata hujui kama atakubali au atakataa,unamwambia utamuintroduce. Hapo ndo ulihalibu mazima.
We mpe hela uone kama gueto hatajileta mwenyewe.
Na kukuzimia simu,ni jibu tosha kwa ombi lako. We kubali matokeo. Bahati mbaya ukute kuna anaekuelewa,anakutaka,na wewe ndo kabisaaaa,hutaki hata kusikia jina lake
 
Hiyo ni kweli... Kuna binti ananipenda mpaka anatishia kujiuwa lkn simuelew huez amin
 
Na yeye alipo,anasema hivyo hivyo. Kwamba kuna bwege anadai ananipenda,namshit lakini hanielewi.
Cha ajabu utakuja kumrudia huyo binti akiwa nae kachoka kuvumilia,na kapata wake. Na wewe ukishapata wako,atakurudia
 
Mapenzi shuwaini sana
 
G....Dah, umenikumbusha Georgina wangu! Ingawa nishaoa lakini hua namkumbuka sana G wangu, alinifundisha mambo mengi sana enzi zile, sijui kwa sasa yuko wapi ingawa najua ni Advocate kwa sasa,.. nimekumbuka sana enzi za MPS..
 
Pole Kaka, una muda gani tangu umeowa
 
Back
Top Bottom