True Story: Kupenda

True Story: Kupenda

Mimi nna wake watatu mmoja akileta fyongo namsahau hadi anitafute yeye, dogo tafuta hela bwana uishi kama uko mbugani serengeti, ukiishi hivyo miaka 50 hufikishi, mbona huyo iko wazi sio hakutaki huyo ni slay kwini, na lini wanawake wameanza kupenda hadi uombe kupendwa lofa wewe, jipige kifua halafu sema kwa sauti mimi LODILOFA
 
Mna~complicate sana sana hizi mambo,kwanza huwezi kumlazimisha mtu akupende,labda akuonee tu huruma...hii inakata sana.
Kingine kama mwanaume hupaswi kujishusha sana kwa mwanamke, ukiendekeza hiyo Hali they'll take advantage of you,wakutumie vizuri mpaka akili ikae mkao.

Mkuu nadhani wewe umeenda kutongoza demu ambaye sio wa hadhi yako(mademu wa hivi ni ngumu sana kukubalia unless awe amekuelewa yeye)

Tafuta mwanamke wa levo zako mkuu....
 
True story

Yule mtoto wa kichaga baada ya kunikataa niliendelea kupambania Kama siku mbili hivi, lkn yy anadai anajitahidi Sana kunipenda Ila anafeli na hajui kwanii anashindwa kunielewa, baada ya kuongea nae Sana akanieleza yeye Kuna mtu ashakuwa nae kwenye mahusiano, Ila kwa Sasa wameachana na jamaa ndo hamtaki lakini yeye anamsubiria pengine jamaa atarudi waendelee na mahusiano yao.

Nimejitahidi kumuelewesha kuwa huyo mtu anampotezea muda, hapo alipo ana miaka 27 kwa maana ya kwamba kachelewa Sana kwa mtoto wa kike asichaguwe Sana muda unamtupa mkono, lkn bado binti amekuwa mgumu kunielewa na kudai anampenda Sana jamaa...

Inauma Sana kweli, nikaamua kukaa kimya Leo ni siku ya tatu tangu nipige kimya, namuona online Wala hanitafuti hata haniwazi naandika sms kumsabahi lkn roho inaniambia kaza atakuona munyonge, basi naamuwa kukaza na kudelete nlichokuwa naandika.

Wanaa JF Kama Kuna namna naeza fanya niambieni Ushauri wenu.
 
Attachments

  • Screenshot_20240318-132634.png
    Screenshot_20240318-132634.png
    110.3 KB · Views: 5
Oya si tulishamalizana juzi. Kwamba piga chini mazima.
1. Futa namba
2. Futa picha
3. Futa screenshots
4. Tafuta pisi ingine
5. Yanga bingwa by the way..
 
True story

Yule mtoto wa kichaga baada ya kunikataa niliendelea kupambania Kama siku mbili hivi, lkn yy anadai anajitahidi Sana kunipenda Ila anafeli na hajui kwanii anashindwa kunielewa, baada ya kuongea nae Sana akanieleza yeye Kuna mtu ashakuwa nae kwenye mahusiano, Ila kwa Sasa wameachana na jamaa ndo hamtaki lakini yeye anamsubiria pengine jamaa atarudi waendelee na mahusiano yao.

Nimejitahidi kumuelewesha kuwa huyo mtu anampotezea muda, hapo alipo ana miaka 27 kwa maana ya kwamba kachelewa Sana kwa mtoto wa kike asichaguwe Sana muda unamtupa mkono, lkn bado binti amekuwa mgumu kunielewa na kudai anampenda Sana jamaa...

Inauma Sana kweli, nikaamua kukaa kimya Leo ni siku ya tatu tangu nipige kimya, namuona online Wala hanitafuti hata haniwazi naandika sms kumsabahi lkn roho inaniambia kaza atakuona munyonge, basi naamuwa kukaza na kudelete nlichokuwa naandika.

Wanaa JF Kama Kuna namna naeza fanya niambieni Ushauri wenu.
usilazimishe mambo ndugu.
 
Back
Top Bottom