Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Nimebandika maharage hadi yameiva we bado tu umeitwa?Kwa kipi ma parokwo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimebandika maharage hadi yameiva we bado tu umeitwa?Kwa kipi ma parokwo?
😂 nipo uwanjani naitumikia timu yanguNimebandika maharage hadi yameiva we bado tu umeitwa?
☹️😂 nipo uwanjani naitumikia timu yangu
😉 am kamingi
Aache kuwaambia wadada naomba nipendeMng'arishe aopoe pisi za kwenda.
😂 mwamba katisha sanaAache kuwaambia wadada naomba nipende
🤣🤣🤣⊘ 𝘛𝘩𝘪𝘴 𝘮𝘦𝘴𝘴𝘢𝘨𝘦 𝘰𝘯𝘭𝘺 appears to 𝘱𝘦𝘰𝘱𝘭𝘦 𝘸𝘩𝘰 𝘣𝘢𝘵𝘩.
usilazimishe mambo ndugu.True story
Yule mtoto wa kichaga baada ya kunikataa niliendelea kupambania Kama siku mbili hivi, lkn yy anadai anajitahidi Sana kunipenda Ila anafeli na hajui kwanii anashindwa kunielewa, baada ya kuongea nae Sana akanieleza yeye Kuna mtu ashakuwa nae kwenye mahusiano, Ila kwa Sasa wameachana na jamaa ndo hamtaki lakini yeye anamsubiria pengine jamaa atarudi waendelee na mahusiano yao.
Nimejitahidi kumuelewesha kuwa huyo mtu anampotezea muda, hapo alipo ana miaka 27 kwa maana ya kwamba kachelewa Sana kwa mtoto wa kike asichaguwe Sana muda unamtupa mkono, lkn bado binti amekuwa mgumu kunielewa na kudai anampenda Sana jamaa...
Inauma Sana kweli, nikaamua kukaa kimya Leo ni siku ya tatu tangu nipige kimya, namuona online Wala hanitafuti hata haniwazi naandika sms kumsabahi lkn roho inaniambia kaza atakuona munyonge, basi naamuwa kukaza na kudelete nlichokuwa naandika.
Wanaa JF Kama Kuna namna naeza fanya niambieni Ushauri wenu.