Palmoni
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 1,968
- 3,760
Yanakuwaga Ni Mahaba Mazito Mnoo Na Ni Ngumu Mnoo Kuachana Hata Kama Kila Mmoja Akimpata Wake.Mkuu una uzoefu na hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanakuwaga Ni Mahaba Mazito Mnoo Na Ni Ngumu Mnoo Kuachana Hata Kama Kila Mmoja Akimpata Wake.Mkuu una uzoefu na hili?
Ni sahihi..natural happened.. automaticallyNdugu jinsia mbili tofauti kama hamjuani mkikutana lazima mpendane.
Nyie mtadhani ni upendo wa mapenzi kumbe ni ile damu ya undugu inafanya kazi.
Unajua kuona haifai haimaanishi kwamba haitendeki. Wewe mwenyewe maisha yako yakiwa open book, wanaosoma watakutana na mambo ambayo watasema hii haifai lakini wewe unafanya sababu tayari hisia zako zimekupeleka humo.Ungekua wewe naona kabisa ungeendeleza
Ila mimi nimeona haifai
Ni kweli mkuuUnajua kuona haifai haimaanishi kwamba haitendeki. Wewe mwenyewe maisha yako yakiwa open book, wanaosoma watakutana na mambo ambayo watasema hii haifai lakini wewe unafanya sababu tayari hisia zako zimekupeleka humo.
Najua ningekuwa mie ndio huyo mwanaune ningetaka kuendelea kula mbususu ya binamu...tena natia na mimba kabisaaaaSijui jamaa atakua na hali gani
Ila wote wameambiwa waache hayo mahusiano mara moja
Wakuu kwema?
Leo mida ya asubuhi nimepokea simu kutoka kwa rafiki yangu/mdg wangu jinsia ya KE. Akanielezea mkasa ambao alitaka nimshauri. Nimeona sii vibaya nikishea hapa jukwaani huenda akapata mawazo mazuri zaidi.
Huyu rafiki yangu ni kama mdogo wangu maana kaka yake amewahi kufanya kazi kwangu kipindi fulani 2022. Amekua kila akikutana na jambo linalohitaji ushauri ananishirikisha namshauri, siku zinasonga.
Kipindi hiki cha sikukuu alisafiri kwenda kwao(Moshi) kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka. Akiwa na mama yake mzazi alimshirikisha kua amepata mchumba ambae anaamini siku zijazo atakua mumewe. Mama yake alimpongeza, na baada ya hapo Alimuonesha picha mbalimbali walizopiga wakiwa pamoja. Kwa bahati nzuri/mbaya mama yake aliona sura ya yule kijana akahisi kumfahamu au kumfananisha na kijana anaemjua. Alimuuliza bintiye huyu kijana ni wa wapi akamjibu kwao ni Mwanza. Mama yake alivotajiwa majina ya kijana akamwambia huyu ni mtoto wa shangazi yako(akamtajia jina la shangazi).
Ghafla Mama yake akaanza kumuuliza ilikuaje mmekutana mkaanza mahusiano? Akawa mkali na kumwambia afute picha hizo na hayo mahusiano ayaache mara moja. Binti anasema anampenda lkn hajui afanyaje maana ameshaambiwa wasiendelee. Na kijana ameshaonywa tayari. Nimemuuliza ilikuaje hujui ndg zako? Akasema anajua ndg upande wa mama pekeake maana ndio alieishi nae.
Mimi nimemshauri kua yeye bado ni mdogo (26) anamuda wa kupata mtu mwingine sahihi na maisha yakasonga.
Ungekua wewe ungemshauri nini huyu dada? Ataendeleaje na mahusiano na mtu ambae ni ndugu yake?
😃😃😃hii JF ni bana🤣Mfupi Kama mapipa ya lami
Nina nywele kichogoni na pembeni mwa kichwa .
Niliyopitia ni mengi hivyo sio mgeni na mapenzi hivyo Mimi ni legend .
Nakunywa pombe kwa mbali .
Nina miradi ninayoisikilizia hivyo ipo siku nitakuwa Don .
Mwambie aje nimuoe bila Shaka Mimi sio nduguye maana Sina ndugu kilimanjaro
Niko tayari ,wewe screenshoot mtumie naweza kuanza mwaka na mke labda😃😃😃hii JF ni bana🤣
Ntamfowardia hii comment yako mkuu
Labda atahamishia mawazo kwako
Anapo pataka..Wapi mkuu
Nitamtafuta mwanaume ndo nimshauri. Yeye ndo ameshikilia hatma ya wao kufanya ngono hata kama wakiachana. Mwanaume akiamua aendelee kumshawishi, mwanamke atashawishika tu hata kama mkimwambia nini.Ni kweli mkuu
Kwahyo kwa upande wako utamshaurije? Afanye maamuzi gani