Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uzi flan wa mwana kamla dadake na mimba kamjaza sema kaususa uzi wakeNdugu jinsia mbili tofauti kama hamjuani mkikutana lazima mpendane.
Nyie mtadhani ni upendo wa mapenzi kumbe ni ile damu ya undugu inafanya kazi.
Sasa mtoto wa shangazi si ni binamu!?? Binamu anashida Gani kuolewa nae au kuoa!?.Wakuu kwema?
Leo mida ya asubuhi nimepokea simu kutoka kwa rafiki yangu/mdg wangu jinsia ya KE. Akanielezea mkasa ambao alitaka nimshauri. Nimeona sii vibaya nikishea hapa jukwaani huenda akapata mawazo mazuri zaidi.
Huyu rafiki yangu ni kama mdogo wangu maana kaka yake amewahi kufanya kazi kwangu kipindi fulani 2022. Amekua kila akikutana na jambo linalohitaji ushauri ananishirikisha namshauri, siku zinasonga.
Kipindi hiki cha sikukuu alisafiri kwenda kwao(Moshi) kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka. Akiwa na mama yake mzazi alimshirikisha kua amepata mchumba ambae anaamini siku zijazo atakua mumewe. Mama yake alimpongeza, na baada ya hapo Alimuonesha picha mbalimbali walizopiga wakiwa pamoja. Kwa bahati nzuri/mbaya mama yake aliona sura ya yule kijana akahisi kumfahamu au kumfananisha na kijana anaemjua. Alimuuliza bintiye huyu kijana ni wa wapi akamjibu kwao ni Mwanza. Mama yake alivotajiwa majina ya kijana akamwambia huyu ni mtoto wa shangazi yako(akamtajia jina la shangazi).
Ghafla Mama yake akaanza kumuuliza ilikuaje mmekutana mkaanza mahusiano? Akawa mkali na kumwambia afute picha hizo na hayo mahusiano ayaache mara moja. Binti anasema anampenda lkn hajui afanyaje maana ameshaambiwa wasiendelee. Na kijana ameshaonywa tayari. Nimemuuliza ilikuaje hujui ndg zako? Akasema anajua ndg upande wa mama pekeake maana ndio alieishi nae.
Mimi nimemshauri kua yeye bado ni mdogo (26) anamuda wa kupata mtu mwingine sahihi na maisha yakasonga.
Ungekua wewe ungemshauri nini huyu dada? Ataendeleaje na mahusiano na mtu ambae ni ndugu yake?
Mwamba anasema walikua na house girl sasa akawana mimba kumbe ya mshua ake mamake akamfukuza wao wakijua kakimbia sasa pita pita za kusoma nk wakakutania udsm noma hukoHio itakua sii kweli
Thread 'Ukweli Mchungu. Haya ni Maisha Yangu' Ukweli Mchungu. Haya ni Maisha YanguHio itakua sii kweli
Mmhh!! Mbona wanaoana sana tu na Wala Haina shida, ulizia kwenu kwa wazee watakwambia.Kwao anasema hairuhusiwi mkuu
Mimi pia nashangaa kuskia hii kitu, sijawah kushuhudia popoto binamu wakioana
Basi kwa baadhi ya makabila na dini binamu unaoa.Kwa mimi binamu zangu naishi nao km ndg zangu, tuna mipaka na heshima ya kutosha.
Ntaexperience kwa majirani ikitokea
Dada yako anajifanya Mwarab ama Muhindi kutombana na kaka yake binamu, yaani amekosa wanaume au?Wakuu kwema?