True story!! Kwenye mapenzi tuwe makini kabla ya kuingia kwenye mahusiano

Ungekua wewe naona kabisa ungeendeleza
Ila mimi nimeona haifai
Unajua kuona haifai haimaanishi kwamba haitendeki. Wewe mwenyewe maisha yako yakiwa open book, wanaosoma watakutana na mambo ambayo watasema hii haifai lakini wewe unafanya sababu tayari hisia zako zimekupeleka humo.
 
Ni kweli mkuu
Kwahyo kwa upande wako utamshaurije? Afanye maamuzi gani
 
Wendawazimu pamoja na wewe
 
😃😃😃hii JF ni bana🤣
Ntamfowardia hii comment yako mkuu
Labda atahamishia mawazo kwako
 
Ni kweli mkuu
Kwahyo kwa upande wako utamshaurije? Afanye maamuzi gani
Nitamtafuta mwanaume ndo nimshauri. Yeye ndo ameshikilia hatma ya wao kufanya ngono hata kama wakiachana. Mwanaume akiamua aendelee kumshawishi, mwanamke atashawishika tu hata kama mkimwambia nini.

Binti anaweza toroka nyumbani akaacha maisha mazuri akaenda kuishi na mvuta bangi asiye na kitanda wala godoro huku akijua mhuni anaweza mchezea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…