True story!! Kwenye mapenzi tuwe makini kabla ya kuingia kwenye mahusiano

Mtoto wa shangazi au mjomba wanaoana vizuri tu na hata kisheria gaina shida.
Huo ni undugu wa mbali,angekuwa dada wa Mama mdogo au Mama mkubwa ndio kidogo utaina soo.
Mkuu Ungekua mzaz ungemshauri hivi?
 
Ndugu jinsia mbili tofauti kama hamjuani mkikutana lazima mpendane.

Nyie mtadhani ni upendo wa mapenzi kumbe ni ile damu ya undugu inafanya kazi.
Kama uzi flan wa mwana kamla dadake na mimba kamjaza sema kaususa uzi wake
 
Sasa mtoto wa shangazi si ni binamu!?? Binamu anashida Gani kuolewa nae au kuoa!?.
 
Hio itakua sii kweli
Mwamba anasema walikua na house girl sasa akawana mimba kumbe ya mshua ake mamake akamfukuza wao wakijua kakimbia sasa pita pita za kusoma nk wakakutania udsm noma huko
 
Sasa mtoto wa shangazi si ni binamu!?? Binamu anashida Gani kuolewa nae au kuoa!?.
Kwao anasema hairuhusiwi mkuu
Mimi pia nashangaa kuskia hii kitu, sijawah kushuhudia popoto binamu wakioana
 
Kwao anasema hairuhusiwi mkuu
Mimi pia nashangaa kuskia hii kitu, sijawah kushuhudia popoto binamu wakioana
Mmhh!! Mbona wanaoana sana tu na Wala Haina shida, ulizia kwenu kwa wazee watakwambia.
 
Mmhh!! Mbona wanaoana sana tu na Wala Haina shida, ulizia kwenu kwa wazee watakwambia.
Kwa mimi binamu zangu naishi nao km ndg zangu, tuna mipaka na heshima ya kutosha.
Ntaexperience kwa majirani ikitokea
 
Kwa mimi binamu zangu naishi nao km ndg zangu, tuna mipaka na heshima ya kutosha.
Ntaexperience kwa majirani ikitokea
Basi kwa baadhi ya makabila na dini binamu unaoa.
 
Walish@tomb@n@ wacha waendelee na kazi Yao nzuri ya kupeana utamu.
 
Dada yako anajifanya Mwarab ama Muhindi kutombana na kaka yake binamu, yaani amekosa wanaume au?
 
Mbona kama ni wewe vile...
 
Zipo familia hawajuani zaidi ya kusikia shangazi yupo ntwara, au dodoma ni vizuri ndugu mkijuana
 
Uchagani ni mwiko sana kuoana binamu,ilinikuta hii
 
Kuna haja ya kuweka utaratibu wa ndugu kukutana walau kila mwaka,.......nina visa vibaya zaidi kutoka pande zote mbili yani baba na mama,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…