Eng Nyahucho
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 688
- 1,152
Nimewahi kufanyia kazi Ileje na Tunduma kama mwaka mmoja hivi, kwa kweli hapa sikupingi unachokiandika ni ukweli mtupu.
Kuna utajiri wa vidonda hasa miguuni, kutoa uzazi, kila ukioa mke anafariki, sadaka ya vidole (miguu au mikono), kufa hadi kutoa funza kwa siku fulani (inategemea na ndago yako), kufuga paka/mbwa, kutoa kafara wazazi/ndugu zako n.k. mikoa kama Sumbawanga, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa utakutana na watu wengi wa aina hiyo..