True story; Madem wa UDSM ndani ya Malawi kusaka limbwata

True story; Madem wa UDSM ndani ya Malawi kusaka limbwata

jamani nikweli kabisaa wadada wanaroga sana. kama mwezi hivi nipo lushoto walikuja wadada wawili wametoka mwanza ni wanachuo wanatafta mganga wa kuroga mabwana zao. masikini ya Mungu sijui aliewaelekeza aliwadanganya maana mganga alooenda kuwaagua ni jamaa tapeli tuu kabisaa. maana jamaa nimshona viatu nimsela wetu alituahadidhia kila kitu kuwa hawa naenda kula hela yao tu mjini hapa. anachofanya kwake kaweka yale mazagazaga ya kiganga. tulicheka balaa. maskini ni wadada wazuri tu huwezi wadhania. Mwingine mdada nilkutana nae muhuze akatwambia yeye asharoga sana sana hadi congo ashaenda . anaviwanja kanunua huko muheza balaa. anasema alichukua mme wa mtu akalogwa akawa ana bleed tu mda wotee. kuna mganga huko muheza ashafariki ndoo alimtibia. yule demu muhuni haswaa afu pisi kaliii. dunia inamengi hii nduguzangu. ila watu wa tanga kwa ndumba nimewaamshia mikono. mimi nimeibiwa naambiwa nikwavimbishe kuna mtaalamu. nimegoma nimemuachia Mungu tu.
 
Mkuu mbona kimya mwendelezo uko wapi.!?
 
Moja ya Madem hao akifuatilia story hiyo hapa JF👇😁😁😁
Eot.jpg
 
Back
Top Bottom