Eng Nyahucho
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 688
- 1,152
kIukwel madem wengi wazur kwasasa wanaroga sanaMwanaume masikini hawekewi limbwata hapo walengwa ni waume za watu wenye pesa
Duh! Aisee.maisha ya sasaivi ukizingua dakika 2 wameisha kuchinja.
Kuna teacher katelekeza Demu wake kaingia kwenye ajira akabadili Mke kimyakimya Mke mkubwa kajua kikawaka.
Kwa sasa tumetoka kumzika week iliyopita. Alipataka ajali ya pikipk akafa.
Tumtafuteni Mungu wapendwa. Life is spiritual.
Unapenda Story [emoji1787]Wewe mchawi story uimalize hii usitukalishe [emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu huko mlikoenda ni misuku
Unapenda Story [emoji1787]
sikupingi nakubaliana na wewe nduguNimewahi kufanyia kazi Ileje na Tunduma kama mwaka mmoja hivi, kwa kweli hapa sikupingi unachokiandika ni ukweli mtupu.
Kuna utajiri wa vidonda hasa miguuni, kutoa uzazi, kila ukioa mke anafariki, sadaka ya vidole (miguu au mikono), kufa hadi kutoa funza kwa siku fulani (inategemea na ndago yako), kufuga paka/mbwa, kutoa kafara wazazi/ndugu zako n.k. mikoa kama Sumbawanga, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa utakutana na watu wengi wa aina hiyo..
Huyu huwa hamalizi story zake. Kama "ya safari ya kitchanga Congo".....Leo kalamu nyingi znaishiwa wino mapema sana...
Una hamu ya kurogwa wewe sio bure [emoji1787]Wewe mchawi story uimalize hii usitukalishe [emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu huko mlikoenda ni misuku