Mabwepande
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 230
- 51
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli? walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wiki
siku hzi sijui wanapimaje
Deskmate hivi vitu sio vya kuchukuliwa lightly...Labda zamani lakini hivi vitoto vyenyewe vya sku hizi vinapenda iyo kushikwa shikwa. Unaweza ukaskia katoto kanapiga kelele "nabakwaa" halaf ukifika eneo la tukio ukashangaa anabakwa na huku juu macho anarembua na anakatika kuliko shakira.
Wizi mtupu, Lawyer nimeshtukia.
Cantalisia haujambo wewe?
Naona umekuja na lawyer kabisa!WTF??? Shule gani hiyo?
Mwaka gani? Mfungulieni mashtaka!
Wizi tena wa hadharani!Labda zamani lakini hivi vitoto vyenyewe vya sku hizi vinapenda iyo kushikwa shikwa. Unaweza ukaskia katoto kanapiga kelele "nabakwaa" halaf ukifika eneo la tukio ukashangaa anabakwa na huku juu macho anarembua na anakatika kuliko shakira.
Wizi mtupu, Lawyer nimeshtukia.
Cantalisia haujambo wewe?
Deskmate! hilo suala linagusa malezi zaidi kuliko mwalim, na apa nimeona freeman Ageyman tu ndio amegusia iyo point. Hivi vitoto vya kike vya sku izi umeviona lakini? mimi nina bonge la kitambi na vimenitongoza maulidini laivu.Deskmate hivi vitu sio vya kuchukuliwa lightly...
Siku hizi hatuachani, toka ulimwacha we go together everywhere.Naona umekuja na lawyer kabisa!
Nimeambiwa FA ni mwanaume, so I wouldn't expect much support from him.Deskmate! hilo suala linagusa malezi zaidi kuliko mwalim, na apa nimeona freeman Ageyman tu ndio amegusia iyo point. Hivi vitoto vya kike vya sku izi umeviona lakini? mimi nina bonge la kitambi na vimenitongoza maulidini laivu.
Una bahati sana mwalimu hakutaka kupima Oil
Nimeambiwa FA ni mwanaume, so I wouldn't expect much support from him.
Usichukulie kila binti.com ni mtundu, wapo ambao wamelelewa
Na hata kama they make the first move, wewe kama mtu mzima unafanyaje?
Kama ni watundu does it justify for the HM kuwakagua hivo?
Umeona eeh! wewe katoto kama lulu kale ukakashike shike si katasherehekea bethdei. Lawyer nasisitiza malezi kwa watoto ili watoto wajitambue, hii ndio solutionWizi tena wa hadharani!
Umeona eeh! wewe katoto kama lulu kale ukakashike shike si katasherehekea bethdei. Lawyer nasisitiza malezi kwa watoto ili watoto wajitambue, hii ndio solution
Yanaenda vizuri mwaya, endelea kumpa lawyer kampani mpaka ntakapomrudia... Mbona Smile haji kutaja jina la shule?Siku hizi hatuachani, toka ulimwacha we go together everywhere.
We wouldn't want our lawyer to feel lonely, would we?
Vipi wewe, mambo yako yanaendelea vizuri huko ulikoenda?
FYI sijasema yananuka nimesema unajisikia unanuka...yani sio lazima unuke...Afu kwenye usafi sio lazima mpaa unuke jiwahi kabla hujanuka, na anaye sema anamavuzi yasio nuka nani basi huyo atakuwa malaika si binadamu tena :biggrin:
bado sijaolewa so sina 24 hrs access na yeye ila kila nipatapo nafasi lazima nifanye hata kama ijumaa+jumosi+jpili consecutively mchana usiku
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli? Walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wiki
siku hzi sijui wanapimaje
Ukiingia jf kabla hujapipa kilabuni unakuwaga na mapointi ya ukweli.Umeona eeh! wewe katoto kama lulu kale ukakashike shike si katasherehekea bethdei. Lawyer nasisitiza malezi kwa watoto ili watoto wajitambue, hii ndio solution