True story: Mkuu wa shule alininajisi!

True story: Mkuu wa shule alininajisi!

shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli? walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wiki
siku hzi sijui wanapimaje

Huhuhuhuhu! Mkuu wa shule mjanja sana teh!
 
Labda zamani lakini hivi vitoto vyenyewe vya sku hizi vinapenda iyo kushikwa shikwa. Unaweza ukaskia katoto kanapiga kelele "nabakwaa" halaf ukifika eneo la tukio ukashangaa anabakwa na huku juu macho anarembua na anakatika kuliko shakira.
Wizi mtupu, Lawyer nimeshtukia.
Cantalisia haujambo wewe?
 
WTF??? Shule gani hiyo?
Mwaka gani? Mfungulieni mashtaka!
 
Labda zamani lakini hivi vitoto vyenyewe vya sku hizi vinapenda iyo kushikwa shikwa. Unaweza ukaskia katoto kanapiga kelele "nabakwaa" halaf ukifika eneo la tukio ukashangaa anabakwa na huku juu macho anarembua na anakatika kuliko shakira.
Wizi mtupu, Lawyer nimeshtukia.
Cantalisia haujambo wewe?
Deskmate hivi vitu sio vya kuchukuliwa lightly...
 
Wizi tena wa hadharani!
 
Deskmate hivi vitu sio vya kuchukuliwa lightly...
Deskmate! hilo suala linagusa malezi zaidi kuliko mwalim, na apa nimeona freeman Ageyman tu ndio amegusia iyo point. Hivi vitoto vya kike vya sku izi umeviona lakini? mimi nina bonge la kitambi na vimenitongoza maulidini laivu.
 
Naona umekuja na lawyer kabisa!
Siku hizi hatuachani, toka ulimwacha we go together everywhere.
We wouldn't want our lawyer to feel lonely, would we?
Vipi wewe, mambo yako yanaendelea vizuri huko ulikoenda?
 
Deskmate! hilo suala linagusa malezi zaidi kuliko mwalim, na apa nimeona freeman Ageyman tu ndio amegusia iyo point. Hivi vitoto vya kike vya sku izi umeviona lakini? mimi nina bonge la kitambi na vimenitongoza maulidini laivu.
Nimeambiwa FA ni mwanaume, so I wouldn't expect much support from him.
Usichukulie kila binti.com ni mtundu, wapo ambao wamelelewa
Na hata kama they make the first move, wewe kama mtu mzima unafanyaje?
Kama ni watundu does it justify for the HM kuwakagua hivo?
 
Thanks but no thank you. Inaoyesha ni jinsi gani huamini katika wanawake kuweza kutoa mtizamo tofauti na wewe au wanawake wengine.
 
Umeona eeh! wewe katoto kama lulu kale ukakashike shike si katasherehekea bethdei. Lawyer nasisitiza malezi kwa watoto ili watoto wajitambue, hii ndio solution

Pamoja sana. Ingawa sishabikii mafataki lakini unajisikiaje utapoona bint ana mis behave na ukakaa kimya au kusema umejaribu na kushindwa? sounds irresponsible parent.

oot: Ulisema utapotea, ukapotea; ulipotea sana.
 
Siku hizi hatuachani, toka ulimwacha we go together everywhere.
We wouldn't want our lawyer to feel lonely, would we?
Vipi wewe, mambo yako yanaendelea vizuri huko ulikoenda?
Yanaenda vizuri mwaya, endelea kumpa lawyer kampani mpaka ntakapomrudia... Mbona Smile haji kutaja jina la shule?
 
FYI sijasema yananuka nimesema unajisikia unanuka...yani sio lazima unuke...Afu kwenye usafi sio lazima mpaa unuke jiwahi kabla hujanuka, na anaye sema anamavuzi yasio nuka nani basi huyo atakuwa malaika si binadamu tena :biggrin:

Fazaa......kama ulishindwa kupost kuhusiana na topic si ungeacha tu!!!
 
Pole sana Smile! You should have said mapema! Kama hata mtuhumiwa na mhalifu hatakiwi kushikwa na kusachiwa na mtu asiye jinsia yake iweje ninyi watoto wadogo tena kipindi hicho ulikuwa haumjui mme! nasema uongo Smile?
 
bado sijaolewa so sina 24 hrs access na yeye ila kila nipatapo nafasi lazima nifanye hata kama ijumaa+jumosi+jpili consecutively mchana usiku

dah hii dozi bab' kubwa, bila ugali wa mtama na mchemusho wa kamongo sijui kama mambo yataenda..
 
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli? Walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wiki
siku hzi sijui wanapimaje

sijui kwako ilikuwaje maana na kunyoa ulikuwa hunyoi...
 
Umeona eeh! wewe katoto kama lulu kale ukakashike shike si katasherehekea bethdei. Lawyer nasisitiza malezi kwa watoto ili watoto wajitambue, hii ndio solution
Ukiingia jf kabla hujapipa kilabuni unakuwaga na mapointi ya ukweli.
 
Back
Top Bottom